Usinunue simu kabla hujayajua haya

Usinunue simu kabla hujayajua haya

Alphabrandz

New Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1
Reaction score
2
Habari za wakati huu wana JF,

Nimekuwa kwenye biashara ya simu kwa muda mrefu, kuna simu nyingi sokoni zingine zikiwa used, refurb na mpya.

Kwa simu za Iphone simu mpya huwa ni ile ya mwaka husika kwa mfano sasa IPHONE 16 TU nyingine ni refurb hata ikiwa kwenye box, SAMSUNG mpya ni S24 ULTRA na A Series kama A 15, A25 na kuendelea, nyingine ni refurb
OPPO, PIXEL ukitoa PIXEL 8na kuendelea, za chini zote ni used, SONY zote ni used
Ukinunua OPPO yoyote zingatia android version iwe 10 na kuendelea.

KWA USHAURI NA MAHITAJI YA SIMU
☎️0748493326
TUPO KARIAKOO MTAA WA AGGREY NA LIKOMA.
 
Attachments

  • IMG_9962.jpeg
    IMG_9962.jpeg
    406.5 KB · Views: 9
  • IMG_9963.jpeg
    IMG_9963.jpeg
    407.7 KB · Views: 9
Habari za wakati huu wana JF,

Nimekuwa kwenye biashara ya simu kwa muda mrefu, kuna simu nyingi sokoni zingine zikiwa used, refurb na mpya.

Kwa simu za Iphone simu mpya huwa ni ile ya mwaka husika kwa mfano sasa IPHONE 16 TU nyingine ni refurb hata ikiwa kwenye box, SAMSUNG mpya ni S24 ULTRA na A Series kama A 15, A25 na kuendelea, nyingine ni refurb
OPPO, PIXEL ukitoa PIXEL 8na kuendelea, za chini zote ni used, SONY zote ni used
Ukinunua OPPO yoyote zingatia android version iwe 10 na kuendelea.

KWA USHAURI NA MAHITAJI YA SIMU
☎️0748493326
TUPO KARIAKOO MTAA WA AGGREY NA LIKOMA.
Safi sana mkuu, uchambuzi wenye manufaa kbs kwa wanunuzi.
 
Huu ni ukweli Sema wachache ndo wataelewa na niligundua hili siku nilipofungua simu ndani
 
Kampuni ya oppo nilikuwa naidharau lakini sasa nimekubali..oppo wana simu kali kuliko tecno na infinix
 
Nashukuru kaka kwa uzi wako , mm nna swali yani toka ninunue hii sim ya oppo F11 ni matatizo sijaweza kutumia Trlegram wala Watsup , afu nadhan waliichezea kdg japo ni version 9 manake inaonyesha ni RAM 8 wakati kiuhalisia ni RAM4 naomba msaada kuirudisha kwenye hali yake ya zaman manake najua hio yote ilikiwa kunivutia tu ili niingie kikng wachukue hela yao...
Msaada kwa hilo manake niliingia kichwa kichwa kujua ni ram 8.
 
Back
Top Bottom