SIRAAJUL MUNIYR HERBS MEDICINE
Tiba Asili ya Malaria na Maradhi Mengine
PAKANGA / FIVI
(Artemisia annua)
Tiba hii ya asili imethibitishwa kwa:
Malaria sugu na homa kali
Changamoto za mfumo wa upumuaji (asthma, mafua, kikohozi)
Kisukari
Kuongeza kinga za mwili
Homa ya ini
Kuondoa sumu mwilini
Arthritis
Saratani na maradhi mengine sugu
MAELEZO YA KISAYANSI:
Mmea huu unajulikana kitaalamu kama
Artemisia annua, unaotumika kutengeneza dawa maarufu kama
Coartem na Lumartem. Dawa hizi hutokana na kiambato cha
Artemisinin, kinachopatikana kwenye mmea huu na kuunganishwa na
Lumefantrine ili kutibu malaria.
Hata bila kutenganishwa kemikali hiyo, mmea huu bado una uwezo mkubwa wa kutibu malaria na homa kali.
MATUMIZI KWA MALARIA:
1. Chukua
gramu 100 za majani makavu ya Pakanga
2. Chemsha kwenye
maji lita 1 na robo, hadi yabaki
lita 1
3. Tumia
vikombe viwili vya kahawa kwa siku mara 2 kwa
siku 3 mfululizo