Usioge, usibadili nguo ama kwenda haja kabla ya kuripoti endapo umebakwa

Usioge, usibadili nguo ama kwenda haja kabla ya kuripoti endapo umebakwa

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Ubakaji ni moja ya makosa yaliyoainishwa kisheria chini ya makosa yanayofanywa dhidi ya utu.

Mwongozo wa Taifa wa Sekta ya Afya kuhusu huduma na Kinga dhidi ya Ukatili wa Kijinsia umeelekeza kutojisafisha, ikiwezekana kutobadili nguo, kutoenda haja ndogo wala kubwa ili usipoteze ushahidi mpaka ufike kituo cha afya na kupimwa.

Vifungu vya 131 na 132 vya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16 vinasema mtu yeyote atakayebainika amebaka atahukumiwa Kifungo cha Maisha jela.
IMG_20210316_153758_818.jpg
 
Upvote 1
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom