My take: Walitakiwa kumsikiliza Rais John Pombe Magufuli alituambia tangu miezi kadhaa iliyopita kuwa tusiogipe, kama dunia ingezingatia ujasiri huu wa Rais huyu mjasiri zaid duniani leo tusingekuwa tunaahirisha shule kama wenzetu Kenya, tungekuwa na COVID-19 free ZONE like Tanzania. Kongole kwa Magu[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548]