Usiogope kupima ukimwi...

Usiogope kupima ukimwi...

Baba Matatizo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2011
Posts
334
Reaction score
64
Usiogope kupima UKIMWI.pia usiogope KUCHUKUA MAJIBU YAKO.WATANZANIA WENGI NI WAGONJWA KWA SASA.USIJE UKASEMA UPO PEKE YAKO MWENYE MARADHI.KAZA MOYO WAKO NA WALA USIJUTIE MAJIBU YAKO YA HIV POSITIVE.
KUWA NA VIRUSI VYA UKIMWI SI MWISHO WA MAISHA.KAZA MOYO.....
 
mkuu mimi nilishapima mmara tatu lakini mara zzote nilikimbia majibu
 
Usiogope kupima UKIMWI.pia usiogope KUCHUKUA MAJIBU YAKO.WATANZANIA WENGI NI WAGONJWA KWA SASA.USIJE UKASEMA UPO PEKE YAKO MWENYE MARADHI.KAZA MOYO WAKO NA WALA USIJUTIE MAJIBU YAKO YA HIV POSITIVE.
KUWA NA VIRUSI VYA UKIMWI SI MWISHO WA MAISHA.KAZA MOYO.....

Mtoa mada si bure huyu!Napita tu
 
kwa vifaa hivi vya kupimia vilivyopo hapa tanzania fake ambavyo hata wizara ya afya imesema ni vifaa vibovu visivyofaa kutumika sasa kwa nini nisiogope kupima, kwa nini nisiogope kuchukua majibu
 
kwa vifaa hivi vya kupimia vilivyopo hapa tanzania fake ambavyo hata wizara ya afya imesema ni vifaa vibovu visivyofaa kutumika sasa kwa nini nisiogope kupima, kwa nini nisiogope kuchukua majibu

makubwa!una point lakini acha uwoga.kuna vifaa vingi tu sio fake!pole kwa mawazo ya zana fake.zinaweza sema un ngoma kumbe huna ...
 
Mkuu sidhani kama kuna mtu ambae hayupo tayari kwa hilo. Tatizo ni hivyo vipimio ni vya kubahatisha! Unaweza kuwa negative kumbe ni positive.Yaani kila kitu mchina kwa kwenda mbele.
 
Usiogope kupima UKIMWI.pia usiogope KUCHUKUA MAJIBU YAKO.WATANZANIA WENGI NI WAGONJWA KWA SASA.USIJE UKASEMA UPO PEKE YAKO MWENYE MARADHI.KAZA MOYO WAKO NA WALA USIJUTIE MAJIBU YAKO YA HIV POSITIVE.
KUWA NA VIRUSI VYA UKIMWI SI MWISHO WA MAISHA.KAZA MOYO.....

WaTz wengi kuugua ndo mtu usiogope na kuwa na wasiwasi?
 
makubwa!una point lakini acha uwoga.kuna vifaa vingi tu sio fake!pole kwa mawazo ya zana fake.zinaweza sema un ngoma kumbe huna ...

Tanania yetu imejaa vitu feki vingi mno mpaka madawa so wasiwasi nii muhim
 
Ila pamoja na hayo ni bora kuzijua afya zetu na kujipanga vyama ktk maisha na kuacha mafaulu yakukurupuka na kuweka malengo thabiti ktk maisha
 
Mh! Mtoa mada naona Kama vile umetoka kuchukua majibu muda si mrefu!!
 
Mkuu sidhani kama kuna mtu ambae hayupo tayari kwa hilo. Tatizo ni hivyo vipimio ni vya kubahatisha! Unaweza kuwa negative kumbe ni positive.Yaani kila kitu mchina kwa kwenda mbele.

bora vipimo viseme negative kuliko positive.kama ni fake bora vilalie kwenye negative tu
 
usiogope kupima ukimwi.pia usiogope kuchukua majibu yako.watanzania wengi ni wagonjwa kwa sasa.usije ukasema upo peke yako mwenye maradhi.kaza moyo wako na wala usijutie majibu yako ya hiv positive.
Kuwa na virusi vya ukimwi si mwisho wa maisha.kaza moyo.....

nb;sijui kama mimi ni mzima.nimeandika ujumbe huu nikiwa na majonzi makubwa sana.nimepoteza ndugu wengi sana kwa ugonjwa huu hatari.mwaka jana nimepoteza ndugu wawili na wengine kibao wakiwa wagonjwa....iliyoniuma zaidi na kunipa ujasiri ni pale mdogo wangu wa kike wa mwaka 1990 alipopima na kuambiwa hiv positive.kaupata hapa hapa duniani.hakuzaliwa nao.zaidi ya yote hakuwahi kusumbua familia kwa umalaya wala tabia mbaya.......ukimwi tusiuogope jamani utatumaliza.kuupata ni rahisi kuliko kuukosa.
Tukaze mioyo jamani!binafsi nitakaporudi hospital na kuambiwa positive sitahuzunika tenaaaaa
 
unaenda kupima unapewa majibu then unaambiwa ohoo sory! Tulikosea tumegundua hauna virus.. Utawaamini kweli.
 
wakiyachelewesha unaweza ukasema unao ndo mana wanaandaa point za kukuambia....

Labda huyo anaeogopa kukupa majina awe wa kichina.
Acha mawazo potovu mkuu,aogope kukupa majibu kwani wewe nani ?! Labda kama mna kaundugu na anajua kamoyo kako kalivyo kepesi kukabili changamoto!
 
Back
Top Bottom