Baba Matatizo
JF-Expert Member
- May 5, 2011
- 334
- 64
Usiogope kupima UKIMWI.pia usiogope KUCHUKUA MAJIBU YAKO.WATANZANIA WENGI NI WAGONJWA KWA SASA.USIJE UKASEMA UPO PEKE YAKO MWENYE MARADHI.KAZA MOYO WAKO NA WALA USIJUTIE MAJIBU YAKO YA HIV POSITIVE.
KUWA NA VIRUSI VYA UKIMWI SI MWISHO WA MAISHA.KAZA MOYO.....
kwa vifaa hivi vya kupimia vilivyopo hapa tanzania fake ambavyo hata wizara ya afya imesema ni vifaa vibovu visivyofaa kutumika sasa kwa nini nisiogope kupima, kwa nini nisiogope kuchukua majibu
Usiogope kupima UKIMWI.pia usiogope KUCHUKUA MAJIBU YAKO.WATANZANIA WENGI NI WAGONJWA KWA SASA.USIJE UKASEMA UPO PEKE YAKO MWENYE MARADHI.KAZA MOYO WAKO NA WALA USIJUTIE MAJIBU YAKO YA HIV POSITIVE.
KUWA NA VIRUSI VYA UKIMWI SI MWISHO WA MAISHA.KAZA MOYO.....
mkuu mimi nilishapima mmara tatu lakini mara zzote nilikimbia majibu
makubwa!una point lakini acha uwoga.kuna vifaa vingi tu sio fake!pole kwa mawazo ya zana fake.zinaweza sema un ngoma kumbe huna ...
mkuu mimi nilishapima mmara tatu lakini mara zzote nilikimbia majibu
Mh! Mtoa mada naona Kama vile umetoka kuchukua majibu muda si mrefu!!
hili jambo lipo sana
haswa pale unapokuwa
unasubiria mda mrefu
lazma upate hofu usepe
Mkuu sidhani kama kuna mtu ambae hayupo tayari kwa hilo. Tatizo ni hivyo vipimio ni vya kubahatisha! Unaweza kuwa negative kumbe ni positive.Yaani kila kitu mchina kwa kwenda mbele.
usiogope kupima ukimwi.pia usiogope kuchukua majibu yako.watanzania wengi ni wagonjwa kwa sasa.usije ukasema upo peke yako mwenye maradhi.kaza moyo wako na wala usijutie majibu yako ya hiv positive.
Kuwa na virusi vya ukimwi si mwisho wa maisha.kaza moyo.....
unaenda kupima unapewa majibu then unaambiwa ohoo sory! Tulikosea tumegundua hauna virus.. Utawaamini kweli.
wakiyachelewesha unaweza ukasema unao ndo mana wanaandaa point za kukuambia....