Mrenda? Huyu ni secretarybird 🤣Wanafikia mbali mpaka kutumia mrenda alooh nakumbuka nimewahi enda sehemu wanafanya massage nikakutana na wastfaatu hakukua na rika langu ila mabinti ndo walikua wadogo tu nikauliza bei nilitajiwa bei ambayo ni mtaji wa mtu
Nifyatue nini, mi sitaki watoto aisee! Wakiwahi shule ndio inakuwaje kwanza?Acha kona kona unawachelewesha watoto kuanza shule njoo ufyatue chap chap
Watoto ni hazina bhna kwasasa watoto ndo ndugu zako wai 2 waiNifyatue nini, mi sitaki watoto aisee! Wakiwahi shule ndio inakuwaje kwanza?
Kuna watoto wengi tu sioni impact wakiyonayo kwa wazazi wao, mtoto mmoja anatosha wakizidi sana wawili..Watoto ni hazina bhna kwasasa watoto ndo ndugu zako wai 2 wai
Sawa tuanzie hapo tuikimbie kidogo jf najua tumbo likiwa mbele utakua na visirani sana utakua hukamatikiKuna watoto wengi tu sioni impact yao kwa wazazi wao, mtoto mmoja anatosha wakizidi sana wawili..
Kwani ukiwa Mzee haipiti??Basi hauko serious mzee, watu wanahesabu wewe unadai 0🤔
Sema mimi kuamini hii gender ni ngumu🤦🏽♀️
Mi mzee lol🤣
Unanioa humu humu au?
Mkuu Asante sanakatika hili tunasimama na wewe na tunakupa baraka zote usituangushe mkuu😂
Hahhaah sio kila mtu ana hizo effectsSawa tuanzie hapo tuikimbie kidogo jf najua tumbo likiwa mbele utakua na visirani sana utakua hukamatiki
Inapitiliza🤣🏃🏽♀️Kwani ukiwa Mzee haipiti??
Wewe kenua tuMkuu Asante sana
😁
Sana sanaViajan jitahidini Msioe matakataka
👊Mkuu Asante sana
😁
Mbona hiyo idadi ni wastani?Mwanamke aliyelala na wanaume 20+ ana historia ya kutoa mimba nyingi achana naye
VP nimepiga kwenye mshono mbona wajichekesha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwanza tushakubaliana hakuna kuoaViajan jitahidini Msioe matakataka