Usiogope unaweza kujenga na kumiliki kituo cha kujaza mafuta ya vyombo vya moto vijijini cha gharama nafuu

Ndoto yangu hii
 
 
Amin ndugu, bila saka nitakutafuta nadhani kama sio mwaka huu mwishoni mwakani nitakusumbua naomba usinichoke
 
Kituo cha milioni 60? real?
Mkuu Kijijini Kwa 60Millioni ukiwa nayo unafika mbali kwenye ujenzi , wewe jiandae upate hiyo Hela uonyeshwe njia ya kupitia Bure, na material za Kutumia ktk ujenzi , wewe jipange , acha kusikiliza wanayotaka Milioni 20 Kwa ajili ya documentation. Vijijini serikali imetoa offa au kipaombele huduma zifike, ujanja ni unapataje material na vifaa vya ujenzi hapo ndio unakwepea gharama
 

aisee mpaka macho yanauma kwa uandishi huu mbovu.

Una madini ila uandishi mbovu kuwahi kutokea hapa JF
 
Kuna mechanism wanayotumia kupata faida maana sio kwa hesabu zetu hizi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yeah, ni kama biashara ya real estate, ukiwa na biashara ya sheli au mafuta unakua na dhamana kubwa sana. Unaweza ukaanzisha sheli ukachukua mkopo mkubwa ambao unaweza kujenga sheli zingine na dhamana inabak kuwa ile sheli
 
Good.
Hapo uwe na kuanzia 50m?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…