usiombe kuota ndoto hii..!

usiombe kuota ndoto hii..!

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
jamaa mmoja aliota kuwa yeye ni kuku,tena kuku jike,akajisikia kama anataka kutaga vile,basi akatafuta sehemu iliyotulia akataga,baada ya muda akashituka hamadi,,,,,,kumbe kashusha 'kubwa' kitandani.
ndoto nyingine bwana....!
 
Back
Top Bottom