Usiombe mdada atumie perferm yako Wakati wa kuondoka geto atajipulizia hadi itabaki chupa tupu.

Usiombe mdada atumie perferm yako Wakati wa kuondoka geto atajipulizia hadi itabaki chupa tupu.

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Adi mgongoni
Vidoleni, jamanii nyie wadadaaa!!!!!
Mwili mzima atapanda na kushuka siiiiiii!!!!!! Siiiii shiiiii!!!
adi akikishe imeisha,
akinambia anakuja tena geto namwachia hili kopo aloliacha tupu.

Sasa turudi nacho why wadada!???
 
perferm-unawahi wapi?
 
hahahahah perfum yenyewe ya buku 6 lakn ndo anaikomalia wakat wew mwenyewe unapga kweny matukio muhmu tu
 
mkuu sio wadada tu ata wakaka pia tena usikute katoka kuisifia muda,huo huo ndo utakoma!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom