Usiombe mwanamke akazimia gheto/magestini

Aissee ni bora akafie kwao nijue moja kuliko kufa mikonon mwangu. Na ujinga wa short time ni kwamba akija mteja mwingine lazima ugongewe mpango utoke .. Niliwaza mengi sana, ila kubwa ilikua ni Jela
Pole mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimekuvutia taswira yaani kama nakuona mahakamani hv, then hakimu ndio anagonga nyundo! Dah! Mkubwa vya kujiiba usipende vingi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umanikumbusha mbali mwananguuuuu
Kuna mshikaji wangu niliingia na demu ghetto basi ile wanaanza zile amsha amsha za kinyoko weee binti si akapandisha sijui mapepo sijui majini yanaongea kikongomani, jamaa yangu alitoka speed ya hatali akiwa kwenye pensi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mimi nisingekaa aisee,

Alaf usiombe mambo haya yanakutokea home bi mkuwa wala mzee hawajui umefungia kitoto cha watu gheto
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mimi nisingekaa aisee,

Alaf usiombe mambo haya yanakutokea home bi mkuwa wala mzee hawajui umefungia kitoto cha watu gheto
Noma aiseee.......
 
Hii story imenikumbusha iringa town pale niko na binti mzuri nimepiga pombe yangu nikamuomba mate kanipa ile kusikia harufu ya pombe tu akawa kimya kwenda kwa mhudumu ananambia nikareport police pombe yote kwisha
 
Hii story imenikumbusha iringa town pale niko na binti mzuri nimepiga pombe yangu nikamuomba mate kanipa ile kusikia harufu ya pombe tu akawa kimya kwenda kwa mhudumu ananambia nikareport police pombe yote kwisha
Ukareport polisi? Nin kilitokea?

Nahis hapo alc kwenye damu ilirudi 0%
 
eti ikasinyaa ikawa kama kidole cha mwisho cha mguu huku unajiskia tumbo la kuhara!!! kwakweli nimecheka sana ila we jamaa ndio ukome kukamia show kwenye mazingira machafu
 
Mi yamenikuta juzi trh05feb17,mdada Fulani mrembo ila ana tatizo la moyo,nikamsomesha kaingia line,bahati nzuri kaishajenga ila hajaolewa,nikatimba home kwake tukapiga round ya kwanza kama dk7 tukaenda mapumziko,mi stimu zikawa zimekata akanin'gan'gania twende round ya pili,nikalianzisha MTU Wang,demu anasquit balaa kochi limeloa nyapenyape,,ikafika kipindi mwenzangu kaanza kuongea maneno yasiyoeleweka mi nikajua nishamkoleza kumbe network ndo zinasepa hivyo,halafu ndo kanin'gan'gania nikaongeza kasi kuja kushtuka demu kimya, kila nikimgusa ushirikiano hakuna duh,nikaanza kuona milango ya gereza inafunguka,kwa kuwa ni kipotable nikam beba hadi bafuni nikamwangia maji kimya,nikaongeza ndoo zaidi ya tatu ndo naona anashtuka,
 
Ukareport polisi? Nin kilitokea?

Nahis hapo alc kwenye damu ilirudi 0%
Nikapata wazo nikaenda kwa mlinzi wa ile lodge nikamueleza akaniambie nimsubiri anakuja alipokuja akamcheki akamuita tax driver akaja tukampeleka hospital ya mkoa pale ni ucku wa saa nane huo mama mhudumu akamcheki akaniuliza huyu nani kwako nikamwambia mpenz wangu akasema umemuudhi sana wakampeleka kwenye machine fulani nahisi ni ya pressure wakabonyabonya mara akahema ghafla halafu akaniuliza nimekujaje huku kimoyoni nikamwambia wewe subiri kuche upewe nauli urudi dar maana alitoka dar
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapo lazima kapambio haka ungekakumbuka

[emoji445][emoji445]"paulo na siiila , waliombaaa,
Paulo na silaaa, waliombaa,
Milango ya gerezaaa, ikafunguka, milango ya gerezaaa ikafunguka..."[emoji445][emoji445]

[emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ddaaadeki.
Eti subiri kukuche...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana aisee
 
eti ikasinyaa ikawa kama kidole cha mwisho cha mguu huku unajiskia tumbo la kuhara!!! kwakweli nimecheka sana ila we jamaa ndio ukome kukamia show kwenye mazingira machafu
Tatizo huyo binti nilikuwa sijawah kumpiga round mbili,

Yan huwa nikipiga moja kanagoma basi nachukulia poa, saaa siku hiyo nikajifanya ninja nikakazia mpaka nikamue mbili, daaadeki mbona niliishia 1 na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…