Usiombe mwanamke akazimia gheto/magestini

Mi yalinikuyaga Arusha kwenye guest moja hivi sasa hivi imefungwa ilikuwa inaitwa Kismayo. Nimetoka nje narudi nakuta demu amekakama uvunguni mwa kitanda. Kumbe alikuwa na degedege bwana. Sikuwahi kupata mshtuko kama ule
 
Mi yalinikuyaga Arusha kwenye guest moja hivi sasa hivi imefungwa ilikuwa inaitwa Kismayo. Nimetoka nje narudi nakuta demu amekakama uvunguni mwa kitanda. Kumbe alikuwa na degedege bwana. Sikuwahi kupata mshtuko kama ule
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]chini ya kitanda?? Uuuwi , nadhan hapo ulikumbuka kuwa kuna jina Ni superpower linaitwa Mungu
 
Ulipoanza kuona milango ya gereza inafunguka vp hukuona na ndoo ya kunyea kwa mbali[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Sasa mkuu unaonaje kama ukifanya kazi na shigongo? Coz nimecheka sana japokuwa nilitegemea kuwa na.masikitiko. eti chululu ikanywea kama kidole kidogo cha mguu!... Hahahaha..
 
Hahahahahaha lol! Burudani za JF. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenichekesha sana shukuru Mungu vinginevyo lupango ndiyo ingekuwa home kwako.
 
Kumbe ndio maana wengine hupenda kuandika-andika habari z Bomba dear humu eeeh kumbe kila mmoja ana wazo eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana ndugu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana peke yangu utadhani Mr mad flan but kna kitu hujajua unahisi kitu gani kilimkatisha ringi huyo demu. Me nahisi orgasm ilimzidiaa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hizo ndo tunaita action adventures za maiko pawa wa ginesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…