boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,397
Rafiki
Najua watanzania wengi wanapenda kusikiliza kuliko kusoma, wanapenda kuletewa habar kuliko kuzifuata, hata mimi miezi kadhaa nilikuwa hivyo nilipenda kuuliza kwa simu, kila biashara niliyoulizia niliambiwa mabaya yake kuliko mazuri yake, kila biashara niliambiwa hailipi na nikapewa mifano ya watu waliofirisika na jinsi nitakavyofilisika endapo nikianzisha, bila kuwaza kuwa kuna watu wanaishi kupitia biashara ileile ambayo wengine wamefirisika, miezi ikapita na mwaka umekatika 2017, bila kufanya biashara yoyote kisa naambiwa hailipi, shiit
Kumbuka mtu unayemuuliza biashara husika ana mambo yake kichwani, kama ni mfanyabiashara anabiashara zake kichwani ambazo anaziwaza kwa wakati huo, je, ataacha kuwaza yake atafute habar za biashara yako in deeply? Hapana atakuambia kitu anachokijua yeye au alichowai kusikia kuhusu hiyo biashara na si habari kamili,
Niliuliza bei ya nafaka flani nikatajiwa ni laki moja kumbe hiyo bei ni ya miez kadhaa iliyopita na nilivyofika sokoni nikakuta 150k nilichoka,
Usifanye utafitj ukiwa kitandani, or kwenye kiti, nyanyuka kwenye kiti kuwa mjinga tafuta habari ya kutosha kuhusu biashara unayotamani,
Acha kuuliza nifanye biashara gani kwenye mitandao ya kijamii, kwan wewe unamaono gani?
Kila biashara hapa duniani inalipa ndio mana kuna watu wanaifanya, biashara bila taarifa za uhakika hakuna biashara unaunguza pesa zako bure, vijana wengi tunapenda kuletewa, hatutaki kutafuta tutaishia kuwalaumu wazazi wetu eti hawajatutengenezea mifereji ya pesa kama akina riz one, au kama akina miraji, kwan baba ako alitengenezewa mifereji ya pesa na baba ake, ingekuwa hivyo baba ake bill gate angekuwa tajiri wa kwanza ndio akafata bill,
Watu wanamitaji ndani wameikalia hawajui wafanya nini, wanashindwa kutoka walipo, wanashindwa kwenda kwenye field area, sasa kama unashindwa kwenda kutafuta taarifa utaweza kutafuta wateja wa biashara uliyoambiwa, au utakuja hapa kuuliza "nani atanunua bidhaa zangu"
Note:
Kama hauna moyo wa kujitoa, kujilipua neno biashara utalisikia tu kwa majirani, na kama huna sifa ya kujilipua, kukubali kupoteza endelea kuajiriwa