Usiombe uumwe USA

Ni mambo ya kawaida tu katika maisha hata Bongo mambo unaweza kuishia ukakosa pesa ya kwenda hosp, na hata kulipa pango la nyumba, mi nampa pole na najua hata yeye atakuwa amepata funzo na hata kama kuna kikao cha kumsaidia mtu, C lazima mmtangaze

wise say......
 

dah! mpaka natamani nikupe like kama tano hivi, umenifurahisha sana, juzi kuna jamaa yangu kakutwa anakojoa huku kwa wadach, kapigwa fine euro 150, kama sh laki 3 hivi za bongo. tena alikuwa anakojoa porini
mpaka nimekumbuka song la machozi la bora nirudi jela
 
Huku kwetu ukishindwa kabisa mambo ya hospitali bado kuna babu Loliondo.
 
karibuni huku kama una ka kitambi flani unajifanya afisa usalama na kabastola chako feki unapiga hela za kutosha, jioni twanga pepeta pale mango gdn na unaitwa pendeshee, karibuni home:glasses-nerdy:
 
Hospitali nzuri USA ila huyo dada Anaishi pay check to pay check .alivyopazwa kazi akapoteza
Halafu wewe hukai States, usidanganye watu ..... hospitali haimkatai mtu marekani, ni kinyume cha sheria.Na huwezi kufukuzwa kazi kwa sababu ya ugonjwa.
 
mmchangie nauli ya kurudi sio mnakaa huko kihasarahasara.
 

Hivi haya yanatuhusu kweli jamani? nahisi ungepeleka kwa U turn kule.
 
Halafu wewe hukai States, usidanganye watu ..... hospitali haimkatai mtu marekani, ni kinyume cha sheria.Na huwezi kufukuzwa kazi kwa sababu ya ugonjwa.

kutilia msisitizo kauli yako watu wanatakiwa kuelewa haki ya kuishi inazingatiwa sana kwenye nchi kama marekani,tena jamaa walivyo smart hii haizingatii una makaratasi ama hauna,huwezi kuachwa ufe kisa huna hela au huna makaratasi,nimewahi kuwa huko,naelewa hali halisi tofauti na watu wanavyoiweka.
 
. Ukisikia mbongo anakaa Texas ,Phoenix ,New Mexico ,Ohio chumba dollar 250 unapata ,Florida.uko ni tandale kwa minority nyumba bei Che na tax low.ukisikia Washington Dc ,Virginia ,Newyork,connectcut lazima uwe na pesa chumba Kimoja 1000 dollar kwa mwezi.
 

Obama care
 
Obama care lazima uwe na health insurance.minority gani ata afford car insurance na health insurance .
 
Wewe Natalia Kweli upo slow ,west side je
 
Obama care lazima uwe na health insurance.minority gani ata afford car insurance na health insurance .
Health insurance inalipwa kazini automatically na car insurance ni kitu rahisi kama huna tickets ..... like 600$ a year, most two bedroom apts are like 500$ a month, wakati apartment ya 1000$ bongo haina choo cha kuvuta ... maji hayapandi.

Gas litre moja ni 1200 wakati bongo ni 2000 na zaidi ... phone bill is like 50$ unlimited calls & text, wakati bongo elfu themanini unlimited calls & txt unaweza maliza wiki mbili ... nilikuwa nachanja 5000 kwa siku.... hapo bila internet.

Vitu vingi ambavyo masikini wa US wanaaford, msomi ofisa wa bongo ni kama luxury, like a show off thang.
 
NN si afadhali utoe kitu kidogo utibiwe kuliko kuishi maisha ya mashaka kama hayo? Mtu kama husomi na wala huna kazi ya maana ya nini kung'ang'ania huko?

Tanzania kuna matibabu gani ya maana? Tanzania watu hawaishi kwa mashaka na kubahatisha? Ikija kwenye huduma za afya Tanzania iko nyuma vibaya mno. Watanzania wangapi wanakufa vifo kwa ajili ya magonjwa yanayoweza kuepukika? Ni wengi mno! Healthcare system ya Tanzania ni janga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…