Pole sana kwa changamoto unayoipitia.Maisha yamenichapa sana ndugu zangu Umaskini ni mbaya sana asikuambie mtu . Mpaka naandika hapa mama watoto amenikimbia kisa sina pesa.
Asante MkuuPole sana kwa changamoto unayoipitia.
Ondoa shaka mkuu , wengine tunapenda kusoma zaidi kuliko kuandikaI'd za zaman zenye reactions chache zina walakini.... kila la kheri masta
Au sioOndoa shaka mkuu , wengine tunapenda kusoma zaidi kuliko kuandika
AsanteUsitaje neno wewe ni graduate chukua pkpk za mkataba piga bodaboda ila usitongoze abiria
Endelea ku-update leseni yako
Utatoboa sana ukiwa na maono ya maisha
Amen kila la kheri kwake
Kapige debe huitaji hata mtaji wa kiasi chochote cha pesa na kwa siku uhakika hukosi 15-20.Mimi ni kijana wa makamo ME umri 30+ , wanasema mficha maradhi kifo humuumbua . Nakuja mbele yenu na uhitaji wa ajira/kazi/kibarua . Maisha yamenichapa sana ndugu zangu Umaskini ni mbaya sana asikuambie mtu . Mpaka naandika hapa mama watoto amenikimbia kisa sina pesa. Nilikua bonge nyanya ila kwa sasa kilo zinashuka kwa kasi ya radi. Pesa ya pango na kula vyote vimekua mtihani kwa sasa naishi kama ndege.
Kufupisha uzi mimi ni graduate mwenye shahada ya manunuzi na ugavi . Kazi ambazo nimeshazifanya na nina uzoefu nazo ni pamoja na manunuzi, msimamizi wa ghala, mauzo, msimamizi wa mauzo , afisa rasilimali watu (hii nilimshikia boss wangu alienda likizo ya uzazi) . Pia nina uzoefu wa kufuatilia vibali mbalimbali kama Osha, Tra nk nk . Nina ujuzi wa matumizi ya computer kwenye program kama exell. Nimeishi na kufanya kazi mikoa ya Dar , Mbeya na Mtwara pia nimetembea karibu wilaya na mikoa mingi ya Tanzania bara na Visiwani.
Kazi ninayoomba ; Kwa hali yangu ya sasa sichagui kazi yoyote iwe ya ujuzi au isiyo ya ujuzi nipo tayari kuifanya kwa bidii . Napatikana Dar kwa sasa.
Amina mkuuNakuelewa sana mzee..hiyo changamoto nimewahi kuipitia..muombe Mungu tu,atakufungulia milango.
pole chief, anzia kampuni za ulinzi kwanza kipindi unajitafuta then usisahau ku apply ajira portal.Mimi ni kijana wa makamo ME umri 30+ , wanasema mficha maradhi kifo humuumbua . Nakuja mbele yenu na uhitaji wa ajira/kazi/kibarua . Maisha yamenichapa sana ndugu zangu Umaskini ni mbaya sana asikuambie mtu . Mpaka naandika hapa mama watoto amenikimbia kisa sina pesa. Nilikua bonge nyanya ila kwa sasa kilo zinashuka kwa kasi ya radi. Pesa ya pango na kula vyote vimekua mtihani kwa sasa naishi kama ndege.