L Leornado JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 1,529 Reaction score 198 Jan 10, 2011 #1 Mchungaji kala kona..
Cheche Mtungi JF-Expert Member Joined Nov 14, 2010 Posts 2,619 Reaction score 771 Jan 10, 2011 #2 Mh hapo patamu!
Baba_Enock JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 7,076 Reaction score 2,457 Jan 10, 2011 #3 Ndoa za "jumla" hizi! Getrude Rwakatare @ work! Hao wanasali - deep - kabla ya kubarikiwa!
Mpagama Senior Member Joined Jan 9, 2011 Posts 127 Reaction score 7 Jan 11, 2011 #4 Duh it is embarrassing. Lakini inaelekea wanaomba Mungu mambo yaende sawa sawia ili wawahi kwenye honey moon zao. Otherwise wapo kwenye queu ya kumuona Dr. kabla ndoa hazijafungwa.
Duh it is embarrassing. Lakini inaelekea wanaomba Mungu mambo yaende sawa sawia ili wawahi kwenye honey moon zao. Otherwise wapo kwenye queu ya kumuona Dr. kabla ndoa hazijafungwa.
NILHAM RASHED JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 1,622 Reaction score 43 Jan 11, 2011 #5 inavyoonekana kwenye picha hawa wamepatwa na msiba wa ghafla......i'm not sure 4 what i said..:A S-cry::A S-cry:
inavyoonekana kwenye picha hawa wamepatwa na msiba wa ghafla......i'm not sure 4 what i said..:A S-cry::A S-cry:
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,803 Reaction score 1,601 Jan 11, 2011 #6 Aisee hili balaa inaelekea wamelazimwisha hawa si bure
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,357 Jan 11, 2011 #7 hayo ndio mambo ya kupima ngoma kabla ya ndoa, wapo kwenye foleni ya kuingia kwa dokta kabla ya kuelekea kwa kasisi
hayo ndio mambo ya kupima ngoma kabla ya ndoa, wapo kwenye foleni ya kuingia kwa dokta kabla ya kuelekea kwa kasisi