Usione watu wanakunywa pombe hivi, hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama walevi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nachokisema Nina uzoefu nacho sana nataka ujue ukweli kwanini mtu anafikia hatua anakunywa pombe kila siku na mtu wa hivyo usimdharau jua anakumbwa sana na changamoto ya kukosa usingizi usiku anakumbana na sleep paralysis inayomtesa sana kuacha pombe inahitaji msaada sio wote wanakunywa ukaona wanafanya starehe lile vibe ni matokeo tu Ila nyuma ya unywaji ni insomnia.
 
Stress
 
Upo sahihi Ila nimeona hizo pombe hazina faida kuna umri ukifika utalipia gharama zote .

Kama unaweza jaribu kuacha pombe hayo mafao yako utabaki kuyaangalia.
 
Hatari sana Walevi

20240409_205133.jpg

PambanaZaidi/CottonandMore
 
Nachokisema Nina uzoefu nacho sana nataka ujue ukweli kwanini mtu anafikia hatua anakunywa pombe kila siku na mtu wa hivyo usimdharau jua anakumbwa sana na changamoto ya kukosa usingizi usiku anakumbana na sleep paralysis inayomtesa sana kuacha pombe inahitaji msaada sio wote wanakunywa ukaona wanafanya starehe lile vibe ni matokeo tu Ila nyuma ya unywaji ni insomnia.
Usingizi mzuri, ukiamka ni majuto!
 
Back
Top Bottom