ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
StressNachokisema Nina uzoefu nacho sana nataka ujue ukweli kwanini mtu anafikia hatua anakunywa pombe kila siku na mtu wa hivyo usimdharau jua anakumbwa sana na changamoto ya kukosa usingizi usiku anakumbana na sleep paralysis inayomtesa sana kuacha pombe inahitaji msaada sio wote wanakunywa ukaona wanafanya starehe lile vibe ni matokeo tu Ila nyuma ya unywaji ni insomnia.
Hasa watu wazima ambao hawapo kwenye mitandao ya simu bora kijana akikosa usingizi kwa sababu ya dagi ana access ya kucheki movie kuchezea simu je mzeeKwa hiyo mnajipiga nusu-kaputi kwa hiari?
Mama Sa100 kazi anayo si kidogo.
Usingizi mzuri, ukiamka ni majuto!Nachokisema Nina uzoefu nacho sana nataka ujue ukweli kwanini mtu anafikia hatua anakunywa pombe kila siku na mtu wa hivyo usimdharau jua anakumbwa sana na changamoto ya kukosa usingizi usiku anakumbana na sleep paralysis inayomtesa sana kuacha pombe inahitaji msaada sio wote wanakunywa ukaona wanafanya starehe lile vibe ni matokeo tu Ila nyuma ya unywaji ni insomnia.