Usipande mbegu ya UBAYA ukategemea zao la WEMA

Usipande mbegu ya UBAYA ukategemea zao la WEMA

Muhabeshi

Member
Joined
Jul 3, 2021
Posts
15
Reaction score
72
Hii inatuhusu vijana wengi tulio kwenye ndoa na tunaotarajia.

Wengi wetu tumekuwa wa kwanza kupoteza heshima ama kutoziheshimu NDOA zetu pia ata na wenza wetu.

Hivi ni yupi kati yetu anayeweza kustahamili Ubaya uleule tunaowafanyia kisha kufanyiwa wewe.

Kijana mwenzangu JAMBO USILOPENDA WEWE KUFANYIWA KATU USIMFANYIE NA MWENZAKO.
 
Back
Top Bottom