Wafugaji wengi hupoteza muda, fedha, na kuku kwa sababu hawana mfumo bora wa kusimamia miradi yao. Ndiyo maana tulitengeneza
Fuga App , msaidizi wako wa kidigitali kwenye kilimo cha kuku!
β
Rekodi gharama zote za mradi
β
Pata ratiba sahihi ya kulisha kulingana na umri wa kuku
β
Kumbushwa siku za chanjo moja kwa moja kwa SMS
βοΈ Acha kutumia kalamu na karatasi!
Pakua
Fuga App playstore sasa ,tuanze kufuga kisasa na kwa Uhakika