USIPITE HEBU soma HAPA

Kama jamaa bado anampenda aende kanisa analosali binti ajaribu kuongea na viongozi wake wamsihi kama yy hataki kumsikiliza. Na pia jamaa ajiweke karibu na Mungu inawezekana huyo sie aliepangiwa.
 
Hivi watu wanaokoka kutokana na matatizo yaliyowapata?. shame on them. Yesu gani huyo anatafutwa kwa nguvu hivyo baada ya matatizo. We need sometime to come to agreement that also problems are part of our life hata dunia ina ups and downs we need to accept that.
 
siku zote dawa ya moto ni moto. cha kufanya huyo kijan aokoke na yeye akishaingia zizini ndo ataona utamu wake na Mungu atamfanyia jambo. Nakushukuru kwa kutupa taarifa bt nakusikitikia km hujampa Yesu maisha yako wewe
 
Kama hii stori ni ya kweli Mwambie Huyo Jamaa yako amuachie Mwanamke afanye Kazi ambayo MUNGU ANAMTUMIA. Hakika nawaambieni Huyo Mwanamke atakuja kutulia, Huyo Jamaa Yako mwambie asimwache huyo Mwanamke maana MUNGU amempenda ili Amtumikie, Inawezekana Mungu amemuita kupitia MATATIZO YA FAMILIA.
 
Cyo jukwaa langu lakini acha niache ujumbe huu!

Maandiko yananena hv: Usidharau mahubiri ya watumishi wake.

Kazi kweli kweli!!
 
Huyo wa kanisa lipi? tukupe ushauri.
 
I've been saying this "dini inafanya waTZ wengi kua almost vichaa" sii-dis dini na ni vyema sana mtu unapomkumbbuka Muumba wako ila iwe kwa kiasi, mwanako ajaribu kumshawishi huyo mpenzi wake kwa kutumia mistari ya Biblia pia it might work out ila ikizingua basi jamaa achukue 50 zake. Kuna mistari kwa Bible sikumbuki mafungu exactly ila nakumbuka vitabu, in Mithali inasema mshike sana elimu usimuache aende zake, in Muhubiri anasema na kila jambo lifanyike kwa kiasi, in Zaburi anasema kazi na sara, in Mithali tena anasema Mungu ni Mungu wa mpangilio yani kila jambo lifuate mkondo wake na in Mathayo anasema ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe Kaisari. Hebu mtie hayo mafungu
 
Wakuu labda tunatumia Biblia tofauti, ni sehemu Mungu kasema nikikutumia acha mambo yako yote fanya kazi yangu tu? Paul mwenyewe alikua anahubiri na bado alikua fundi mzuri sana wa kutengeneza tents kwa ajili ya kipato chake, muda wote ukiwa kwa maombi tu bila kufanya kazi Mungu atakuangushia manna toka mbinguni ule.!? acheni hizo bana huyo mwanamke anazingua Yesu kasema acha dhambi na unifuate ajasema acha kazi zako za kila siku na uniombe tu. Dini inapoteza TZ/Africa ya leo for sure watu wanadanganywa sana na dini zao.
 
Hapo hakuna relationship asepe tu awaachie walokole wenzie
 

Mungu anamtumia ndio afeli mitiani kwa uzembe wa kutosoma,...hamna kitu kama hicho..asome kwa bidii na huku akihubiri injili hapo sawa
 
huyo jamaa ana pepo ndio maana ana muona mwenzake kachanganyikiwa.njoo kwa yesu
 
Usifungiwe nira na wasioamini, kwa hiyo mshauri kama anamtaka naye aokoke waendane sawa, au amuache tu maana ndoa hiyo haitadumu kwa utofauti wa imani.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Kwa uliyoyaeleza ni dalili tosha za kujua kuwa huyo binti anaumwa ugonjwa wa Major Depressive Disorder (MDD) ambazo dalili zake ni kukosa interest ya vitu alivyokuwa akivifanya zamani, kukosa hamu ya chakula , feeling sad , loss of weight , desperate, feeling worthless and guilty on small things, may even commit suicide due to feeling of worthless.
Chukua Hatua haraka ya kumpeleka hospital kwa ajili ya psychiatrist consultation lkn mtampoteza huyo binti. Anayoyafanya sio kwa mapenzi yake bali ni underlying problem.
 
hata Yesu walidhani amechanganyikiwa; Amwache dada wa watu afanyekazi ya kuokoa roho zilizo potea
 
Ata kuwa na pepo huo sio ulokole wa kweli. Mshauri rafiki yako akawaone wachungaji.
 
kama hii stori ni ya kweli...
Huyo binti anasoma biblia gani?
Si imeandikwa shika sana elimu, usimuache aende zake?
 
Kaunga , Hongera kwa uamuzi wa kujiandalia maisha ya Baadae

Bwana akushike na kukuongoza ktk safari yako ya WOKOVU
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…