Usipitwe na hii Thread I swear you gonna like it!!!!

Nilishawai kuisoma hii story kwenye blog flan kwa kingereza na ilinisisimua sana, hongera kuileta hapa kwa lugha ye2.
 

Mhh sijui niamini??eti mkuu nyie ni waswahili(watanzania)?
 
..tatizo ulikua unamalizia bafuni mwenyewe. Laiti kama ungekua "hupuchuki" ungempa ukweli...
En weiz.. Iko poa..
 
nimevutiwa na ule ubeti wako wa mwisho unao anza na i wanted her
MUNGU katupa zawadi ya maisha hapa duniani zawadi ambayo haijirudii hivyo kama unampenda mtu mwambie ili moyo wako utulie na kama umemkosea mtu mwombe msamaha kabla hujatoweka duniani
 
Aiseee baba yangu inafanana na move moja ya kinaijeria
 
daah...inasisimua kwa kweli nimevutiwa na hii story.
 
Ilishakwepo humu ......... iko poa,nyie endeleeni. mi napita.
 
Unafaa kuwa mtunzi wa dead romance.
 
nimejifunzaaaaaaaa! kutii hisia za mwili wako, but terms and conditions applied
 
Duh! Bonge la story,where is shigongo meeen!
 

Pole sana mkuu, ungefunguka tu.

Na mm nilikuwa na swali hilo hilo km la fazaa, diary ya best friend waliisoma kwenye mazishi?

Hata hivyo hadithi inasikitisha kwa kweli.
 
Fear was barrier both side, sometimes you must be risk taker, you don't know what is in store
 
ooh no jamani how sad love love haitakiwi aibu tena ona sasa kwisha poteza pengine ungemwambia angekuwa mpaka leo kwa furaha ya wawili walio pendana
 

oh!nimelia nawe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…