Usipitwe na viatu orijino vya kiume

hio cracks ya brown ya tatu kutoka juu ingekua unaenda kwa 100K ningekua mteja wako fasta, upo juu sana ndugu
 
Kiatu unachopata Laki 3 sehemu nyingine mimi nakuuzia kwa bei isiyozidi 180 elf. (Laki na 80)
Karibuni wakubwa zangu. DELIVERY popote.

Kweli bei nafuu nilinunua hiyo double monk kwa dola 250, ila kweli ni original toka italy, kama ni origonal bei nzur bro
 
Saju B. Sana mzee..hakika kiatu ni chenyewe na wala si cha ubabaishaji
Kweli bei nafuu nilinunua hiyo double monk kwa dola 250, ila kweli ni original toka italy, kama ni origonal bei nzur bro
 
Zote 180.. sizidishi hata nukta
 
Haya wale wakali wa hizi mambo..
Kuna GRAY, WHITE & BLACK
150 tu
 
Eheee hapo kwenye sneakers ndo napataka, kama unazo picha nyingne hembu weka humu, nataka nyeupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…