M nilinyamaza japo nilimwambia yupo juu bila kumpa refference nisome upepo ila wewe umefunguka, hv viatu Naapa kwa dini yang na leo n jumapili nilivikuta k.koo chimbo flan hv wanauza 95K mwez huu huu mwanzoni, japo niligundua wakat nishanunua kwa 120 mwenge tena travota, na cracks ya kawaida isiyoenda juu nikachukua kwa 100k wakat k koo n 90k ikienda sana, hata kama wamepanda sana haiwez zidi 130k tena hapo nazungumzia kwa hzo zilizoenda juu kama hio cracks ya brown ya tatu kutoka juu, Ndio maduka meng wanauza kwa 130k-150k ila huyu ndugu yetu kazid, 180? Khaaa.... Anayebisha anipe 130 na kdg ya udalali nikamletee weekend nikija town, lengo sio kuharibiana lengo ni kutafuta mazingira ya kufaidika na kupata kdg(hio hamna asiependa) bila kumuumiza sana mwenzako.Mwenye duka ambapo wewe ndio umechukua picha anauza 150K ,unahisi JF kuna maboya watupu ehhView attachment 945462
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuatu sawa na trip ya mchanga....
Hicho 150 kiongozi.
Vitu PURE
Huwezi pata Pure Leather ya Brand hizo kwa bei hiyo. Hizo zote ni Synthetic Leather!Ni ngozi pure?
Sio viatu vyote ni OG hapo,na vile ambavyo ni OG nilivyoviona hapa bei yake huwa haizidi 80,acheni wizi wadau..
Huwezi pata Pure Leather ya Brand hizo kwa bei hiyo. Hizo zote ni Synthetic Leather!
Siwezi endeleza dialogue na wewe sababu hatuwezi kuelewana.Nawahakikishia pure leather..
Wengi wamekataa ila niliowauzia wamethibitisha..
Bei huwa kubwa zaidi kulingana na wapi umenunua
Ndo kazi ya udalali we ulitaka auze hiyo hiyo 150 halafu anapataje cha juu
hapa mwisho ndo umeongea point, nimekuelewa sasa.Nawahakikishia pure leather..
Wengi wamekataa ila niliowauzia wamethibitisha..
Bei huwa kubwa zaidi kulingana na wapi umenunua
Nawahakikishia pure leather..
Wengi wamekataa ila niliowauzia wamethibitisha..
Bei huwa kubwa zaidi kulingana na wapi umenunua
Boss hapo hakuna kiatu OG hata kimoja.
Kwa sisi ambao tunanunua Viatu vya Mtumba tunaelewa.
Hizo zote ni copy tuu za brands kubwa.
Waweza kumkamata Mtu wa koromije kwa style hyo.
Kwa brands hizo ulizotaja hapo juu ukipata Original cha bei ndogo kabisa ni 180$ =350,000 TZS na kuendelea.na sio chini ya hapo.
Wewe sema tu unauza Viatu kwa bei hyo sio kuaminisha watu ni OG.
Hivyo ni Viatu vya kuvaa kama una harusi tuu upate picha nzuri na sio vya kudumu.
Ahsante
Sasa unajua kiatu hicho hicho cha Bei ninayouza mimi baadhi ya Boutique wanauza bei gani?? Wanaumiza mpaka 380 or 320. sasa tukiwaletea kwa bei ya chini mnalalamika tena..aisee watanzania tujifunze kuamini tunachoambiwa..nisingekuwa na haja ya kunadi kitu ambacho sina hakika nacho
Boss acha chai [emoji477]️ za asubuhi.
Hakuna biashara ya price variation kubwa ya kiasi hicho.
Usifanye watu hawaelewi vitu vizuri Na original.
Kuwa makini Dunia ni kijiji bro.
Narudia tena wewe sema unauza viatu, mambo ya ubora Na originality hakuna unachokijua, usitake kuaibika hapa.
Watu wameanza kuvaa hizo brands original kabla hujazaliwa.
Ohooooh!! Kwa hiyo jamaa cha Juu jamaa yeye anachukua 30? Dah parefu sana asee