Usipitwe na viatu orijino vya kiume

Bila shaka boss
 
Unachoice ya kufwata upendacho boss.. sio lazima kila jambo u comment
China mnanunua a-dime-a-dozen halafu Bongo mnaja uza $90 a pair. Eti "BOSS Achievement of High Quality Men". Wajinga ndiyo waliwao. Haahaa....
 
Kwa laki na nusu ni bei halali..zunguka maduka yote town ulete mrejesho.. tena kuna mengine kinondoni na kwingineko wanauza mpaka laki 2.5
Jamaa kaweka cha juu sana asee
 

Utawaweza?
Hapo hawana hela!
 
Ndugu hili tangazo utapigwa mawe humu baraa bora ulipeleke kwa masharobaro IG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…