Usipitwe na viatu orijino vya kiume

Nimejaribu kwenda kutazama kiatu original cha Clarks mitaa fulani ya Ujerumani kwenye duka lao wao watu wa Clarks, nikavitathmini viatu vilivyomo mle na boot tunazovaaga Bongo. Nilichogundua sijawahi kuvaa kiatu original cha Clarks. Poor me!!! €120 (~310,000/=) ndiyo bei na ni offer ya Christmas (Weihnachten)!!!
 
Ukizijua bei ya viatu original zilie brand kubwa alafu ukapitia huu uzi ukaangalia na bei za humu,inabidi tu upite kimyakimya usimwaribie mpambanaji rizki yake.
 
Kila taifa linakuwa na Grade yake inaingiza kulingana na hitaji.. kwa sisi hiyo stock ni grade bora kabisa..kama hizo tu tunaiuza laki na nusu mpaka laki 2. Watu wanalia lia bei.. vipi hizo oG zikiletwa hapa bongo kwa laki 5 mpaka 6 mtanunua??
Pia kumbuka sometime quality ya bidhaa huweza kuwa same ila hudepend wapi unainunua.. kama mimi kiatu ntauza laki na nusu kkoo..same quality ukiikuta posta or Mlimani usishangae ikawa laki 3.
Ukizijua bei ya viatu original zilie brand kubwa alafu ukapitia huu uzi ukaangalia na bei za humu,inabidi tu upite kimyakimya usimwaribie mpambanaji rizki yake.
 
Sawa mkuu.Wewe ni mjasiria mali/mpambanaji mwenzangu,naunga mkono jitahada zako.big up.
 
Shame on you.kwanini usianzishe uzi wako ukaweka hizo bei unazosema?Hii ni biashara ya mtu na ndo maaisha yake yanayomweka mjini usilete ujuaji.

Haijalish vinauzwa shiling ngapi huko kariakoo,Haijalishi ni fake ama OG.Ulitaka awe kibaka awakabe apigwe afe?wacha ajitafte ridhki kwa style yake.
 
Punguza Povuu utatanua moyo bila sababu za msingi😀😀
 
Kwa hali hii ya sasa, hivi kuna vya shilingi 2,000 mpaka 5,000 hapo? Na kama hakuna kwanini unauza bei mbaya, una maana gani?
 
Ndivyo wabongo walivyo ndugu..so hata hatupotezi muda mwingi kuweka malumbano nao
 
Kwa hali hii ya sasa, hivi kuna vya shilingi 2,000 mpaka 5,000 hapo? Na kama hakuna kwanini unauza bei mbaya, una maana gani?
Mkuu una option ya kununua upendacho.. kila kiatu kina Grade yake.. sasa mpaka umri huo unashindwa jua tofauti ya bei katika bidhaa?
Hata TECNO NA SAMSUNG zina bei tofauti..so kama unaona cha elfu tano suit for you. .ok Go then
 
Je na ivi viatu vinauzwa kiasi gani
 

Attachments

  • 16.jpeg
    187.5 KB · Views: 51
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…