Usipochaguliwa na tcu utafanyaje?????

viane

Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
79
Reaction score
19
Hivi km umeaply tcu na haujaaply vyuo vingine na ikitokea hujachaguliwa utafanya nini wakati muda wa kutuma maombi ktk vyuo vingine utakuwa umekwisha,,,,
 
Ndo maana unashauriwa,kama matokeo yako hayana mwelekeo,ujaribu kuapply na vyuo vya diploma.
 
Ts true utafute 2 direct entry for diploma kma hapa university of arusha wameshaanza kupokea diploma student hvyo ucjal unaweza pata kma huna uhakika jiende 2 diploma
 
Hivi km umeaply tcu na haujaaply vyuo vingine na ikitokea hujachaguliwa utafanya nini wakati muda wa kutuma maombi ktk vyuo vingine utakuwa umekwisha,,,,

kwani umepata div3 ya points ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…