Usipoingia JF unajisikiaje?

Usipoingia JF unajisikiaje?

je usipo tumia jamii forum unajisikiaje???

  • vizur

    Votes: 0 0.0%
  • vyote viwili

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    4

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
3,645
Reaction score
4,330
Wakuu hope mko fine.

Yangu Leo n machache. Kama kichwa cha habar kinavyo eleza. binafsi hua nahisi kukosa kitu cha muhimu pindi inapo tokea sijapata nafas hata dakika moja ya kuperuzi humu. sjui kwa upande wako hua unajiskiaje? tushirikiane hapa kuujenga na kuutambua umuhimu waJamii forum katika maisha yetu ya kila siku...

haya sas twende wote

nawasilishaaaa
Davet Shunie Mzigua90 Hajar Mwifwa Bujibuji Mshana Jr Sakayo RRONDO
 
wakuu
hope mko fine.
yangu Leo n machache.
Kama kichwa cha habar kinavyo eleza.
binafsi hua nahisi kukosa kitu cha muhimu pindi inapo tokea sijapata nafas hata dakika moja ya kuperuzi humu.
sjui kwa upande wako hua unajiskiaje???
tushirikiane hapa kuujenga na kuutambua umuhimu wa Jamii forum katika maisha yetu ya kila siku...

nawasilishaaaa

Davet
Shunie
Mzigua90
Hajar
Mwifwa
Bujibuji
Mshana Jr
Sakayo
RRONDO
Hao uliowataja hapo wapelekwe sober house ya addiction ya JF maana ikitokea hawajaingia hata siku moja wanaumwa homa.

Ukimteka mzigua asitumie simu yake kwa siku au akupe bumunda kwa hiari basi utakuwa unawazia tu style atakayokupia bumunda maana itakuwa ni uhakika. Ahahaha!

Beware guys JF is addictive
 
hahahah.
mkuu utaniua kwa kucheka aiseee.
Mzigua90 njoo huku utuambie Kama haya madai yana ukweli wowote.
 
Hao uliowataja hapo wapelekwe sober house ya addiction ya JF maana ikitokea hawajaingia hata siku moja wanaumwa homa.

Ukimteka mzigua asitumie simu yake kwa siku au akupe bumunda kwa hiari basi utakuwa unawazia tu style atakayokupia bumunda maana itakuwa ni uhakika. Ahahaha!

Beware guys JF is addictive
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu hope mko fine.

Yangu Leo n machache. Kama kichwa cha habar kinavyo eleza. binafsi hua nahisi kukosa kitu cha muhimu pindi inapo tokea sijapata nafas hata dakika moja ya kuperuzi humu. sjui kwa upande wako hua unajiskiaje? tushirikiane hapa kuujenga na kuutambua umuhimu waJamii forum katika maisha yetu ya kila siku...

nawasilishaaaa

Davet Shunie Mzigua90 Hajar
MwifwaBujibuji
Mshana Jr
Sakayo
RRONDO
JF ni Arosto kwangu mimi
Wewe ni Mlevi wa Kitu/Jambo gani?
 
Back
Top Bottom