Usipokula hela kwenyw betting wiki hii hutokula tena maishani mwako

Simba atashinda
Yanga atashinda

Hilo nina uhakika nalo 100%

Nchi imewaita na kuwaambia waache ubinafsi, kwahiyo hawa jamaa wako pamoja ila kila mmoja anafanya lake.

Ushindi kwa timu hizi narudia ni 100%
sawa
 
Uko sahihi 10000β„… bet ushindi kwa Simba utapiga hela ila kwa Yanga nisidanganye bado ndwindwi haijasoma
 
Mmh labda Simba unaweza ukampa ashinde maana anauzoefu ila Yanga utaliwa pesa yako.!
 
Half time simba 1-1
Half time yanga 1-0 nao nao hali ni tete mda wowote wanafungwa
 
ili hizi timu zetu ziende nusu fainali, game za nyumbani zishinde kwa tofauti ya zaidi ya goli 2 ama 3
 
Simba atashinda
Yanga atashinda

Hilo nina uhakika nalo 100%

Nchi imewaita na kuwaambia waache ubinafsi, kwahiyo hawa jamaa wako pamoja ila kila mmoja anafanya lake.

Ushindi kwa timu hizi narudia ni 100%
Uzi tayari...

Huu ndo uhuru wa maoni sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…