Mkuu hiyo michongo huwa ni mambo gani?Walevi ndiyo watu wenye michongo na ili akupe anataka aone ufanisi wako kwenye pombe ukoje asije kumpa mchongo mtu asiyefaa.
Inategemea unachongwa kwenye mambo yapi.
Aaaaaaah, mkuu funguka tu leo tueleweInategemea unachongwa kwenye mambo yapi.