Usipokuwa makini hivi vitu vitakushushia heshima

Usipokuwa makini hivi vitu vitakushushia heshima

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
-kuweka mlio wa mchiriku kwenye simu yako
-kuvaa soksi zenye matundu
-Kuhadithia muvi za akina Kanumba...
-kujitazama kwenye vioo vya madirishani
-kuvaa suruali ya kitambaa ndani una kibukta
- kuvaa nguo zenye mapichapicha
-kuvaa viatu vilivyoisha sole na vilivyopinda kwa nje
-kuvaa mapetepete kibao mikononi
-kutembea na makaramu mengi kwenye mfuko wa shati
-kuvaa mkanda wa bakozi au wautambi

Mengine mtaendeleza nyie
 
Back
Top Bottom