Usipokuwa na familia, ndugu na jamii kwa ujumla hukuchukulia kama mtu asiye na majukumu

Nilitakaga kuliletea uzi hili. Umenena vyema.
Nasemaga mipango ya mtu ndio majukumu yake.

Sio tu jitu linaropoka eti qw si huna majukumu.

Yaani mtu kuwa na katoto kamoja anaona ni majukumu sana.

Hiyo ni sawa na kuona watoto wako mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…