Pre GE2025 Usipopiga kura kuchagua viongozi unatenda dhambi na Yule anayetawala kwa Kura za Wizi Yu na Dhambi iliyo Kuu Zaidi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tunakumbushana tu Chagua Kiongozi Kwa kura halali Ili mwisho wa Siku Eneo la nchi Yako nzuri lipate Kiongozi mwenye KIBALI Kutoka kwa Mungu wa Mbinguni mwenyewe

Nawe unayetaka kuwaongoza Watu hawa ambao Mungu wa Mbinguni amewaumba kwa Mfano wake USIIBE KURA, kwani Kwa kuiba Kura hautakuwa KIONGOZI bali Mtawala atawalaye kwa HILA

Mbele ya Mungu wa Mbinguni HILA ni dhambi iliyo Kuu Zaidi yenye kusambaza LAANA kwa Watu Wote watawaliwao nawe

Mungu wa Mbinguni akufumbue Macho Uweze KUTAZAMA na KUONA

Ahsanteni sana 😄
 
Vipi wanaoteka na kuua wanatenda mema?
 
Una maana kuwa jpm alikuwa na dhambi nyingi sana na kamwe hatakuja kusamehewa na mola. Aliagiza uchagizi ccm wote watangazwe bila kushinda. Mfano, kitila, mafue, gwajima, majalowa, nape, gambo nk hata yeye mwenyeqe hakushinda dhidi ya lowasa
 
Una maama kuwa jpm alikuwa na dhambi nyingi sana na kamwe hatakuja kusamehewa na mola. Aliagiza uchagizi ccm wote watangazwe bila kushinda. Mfano, kitila, mafue, gwajima, majalowa, nape, gambo nk hata yeye mwenyeqe hakushinda dhidi ya lowasa
Kwani Walijitangaza au Walitangazwa na NEC?
 
Tunakumbushana tu Chagua Kiongozi Kwa kura halali Ili mwisho wa Siku Eneo la nchi Yako nzuri lipate Kiongozi mwenye KIBALI Kutoka kwa Mungu wa Mbinguni mwenyewe

Nawe unayetaka kuwaongoza Watu hawa ambao Mungu wa Mbinguni amewaumba kwa Mfano wake USIIBE KURA, kwani Kwa kuiba Kura hautakuwa KIONGOZI bali Mtawala atawalaye kwa HILA

Mbele ya Mungu wa Mbinguni HILA ni dhambi iliyo Kuu Zaidi yenye kusambaza LAANA kwa Watu Wote watawaliwao nawe

Mungu wa Mbinguni akufumbue Macho Uweze KUTAZAMA na KUONA

Ahsanteni sana 😄
Kupiga kura ambazo ccm wanapanga nani atangazwe mshindi, ni matumizi mabaya ya raslimali muda.
 
Tunakumbushana tu Chagua Kiongozi Kwa kura halali Ili mwisho wa Siku Eneo la nchi Yako nzuri lipate Kiongozi mwenye KIBALI Kutoka kwa Mungu wa Mbinguni mwenyewe

Nawe unayetaka kuwaongoza Watu hawa ambao Mungu wa Mbinguni amewaumba kwa Mfano wake USIIBE KURA, kwani Kwa kuiba Kura hautakuwa KIONGOZI bali Mtawala atawalaye kwa HILA

Mbele ya Mungu wa Mbinguni HILA ni dhambi iliyo Kuu Zaidi yenye kusambaza LAANA kwa Watu Wote watawaliwao nawe

Mungu wa Mbinguni akufumbue Macho Uweze KUTAZAMA na KUONA

Ahsanteni sana 😄
Siwezi kupiga kura, Na sitopiga kura kwa maisha yangu yote Mimi na mke wangu Na wote wangu......
 
Sina muda wa kupoteza, kama mlitarajia tutaendelea kujaa vituoni ili muongopee wafadhili kuwa mnakubalika basi mmeukalia. Jazeni watoto wa shule huko vituoni.
Utabaki nyumbani peke Yako 😄

Wapinzani wameapa kutomwachia FISI bucha 🐼
 
Back
Top Bottom