johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuua siyo Kazi ya Mwanadamu πΌVipi wanaoteka na kuua wanatenda mema?
Una maana kuwa jpm alikuwa na dhambi nyingi sana na kamwe hatakuja kusamehewa na mola. Aliagiza uchagizi ccm wote watangazwe bila kushinda. Mfano, kitila, mafue, gwajima, majalowa, nape, gambo nk hata yeye mwenyeqe hakushinda dhidi ya lowasaTunakumbushana tu Chagua Kiongozi Kwa kura halali Ili mwisho wa Siku Eneo la nchi Yako nzuri lipate Kiongozi mwenye KIBALI Kutoka kwa Mungu wa Mbinguni mwenyewe
Nawe unayetaka kuwaongoza Watu hawa ambao Mungu wa Mbinguni amewaumba kwa Mfano wake USIIBE KURA, kwani Kwa kuiba Kura hautakuwa KIONGOZI bali Mtawala atawalaye kwa HILA
Mbele ya Mungu wa Mbinguni HILA ni dhambi iliyo Kuu Zaidi yenye kusambaza LAANA kwa Watu Wote watawaliwao nawe
Mungu wa Mbinguni akufumbue Macho Uweze KUTAZAMA na KUONA
Ahsanteni sana π
Siyo rahisi kama unavyofikiria πΌTuchapane na kuuwana kwanza.
Kwani Walijitangaza au Walitangazwa na NEC?Una maama kuwa jpm alikuwa na dhambi nyingi sana na kamwe hatakuja kusamehewa na mola. Aliagiza uchagizi ccm wote watangazwe bila kushinda. Mfano, kitila, mafue, gwajima, majalowa, nape, gambo nk hata yeye mwenyeqe hakushinda dhidi ya lowasa
Kupiga kura ambazo ccm wanapanga nani atangazwe mshindi, ni matumizi mabaya ya raslimali muda.Tunakumbushana tu Chagua Kiongozi Kwa kura halali Ili mwisho wa Siku Eneo la nchi Yako nzuri lipate Kiongozi mwenye KIBALI Kutoka kwa Mungu wa Mbinguni mwenyewe
Nawe unayetaka kuwaongoza Watu hawa ambao Mungu wa Mbinguni amewaumba kwa Mfano wake USIIBE KURA, kwani Kwa kuiba Kura hautakuwa KIONGOZI bali Mtawala atawalaye kwa HILA
Mbele ya Mungu wa Mbinguni HILA ni dhambi iliyo Kuu Zaidi yenye kusambaza LAANA kwa Watu Wote watawaliwao nawe
Mungu wa Mbinguni akufumbue Macho Uweze KUTAZAMA na KUONA
Ahsanteni sana π
Aliiiamrish NEC imtangaze yeye na mashoga zakeKwani Walijitangaza au Walitangazwa na NEC?
Timiza Wajibu wako πΌKupiga kura ambazo ccm wanapanga nani atangazwe mshindi, ni matumizi mabaya ya raslimali muda.
Wewe ukiamrishwa chochote huwa unakubali? πΌAliiiamrish NEC imtangaze yeye na mashoga zake
He was a dictator of its kindWewe ukiamrishwa chochote huwa unakubali? πΌ
Kwahiyo dictator akikuamlisha unamkubalia? πΌHe was a dictator of its kind
Kila mtu anataka kuishi. Yule jamaa kukuchapa risasi ilikuwa kawaida tuKwahiyo dictator akikuamlisha unamkubalia? πΌ
Kwahiyo uko tayari kuuza Utu wako Ili uishi? πΌKila mtu anataka kuishi. Yule jamaa kukuchapa risasi ilikuwa kawaida tu
Wao walifanya hivyo. Mimi siweziKwahiyo uko tayari kuuza Utu wako Ili uishi? πΌ
Sina muda wa kupoteza, kama mlitarajia tutaendelea kujaa vituoni ili muongopee wafadhili kuwa mnakubalika basi mmeukalia. Jazeni watoto wa shule huko vituoni.Timiza Wajibu wako πΌ
Siwezi kupiga kura, Na sitopiga kura kwa maisha yangu yote Mimi na mke wangu Na wote wangu......Tunakumbushana tu Chagua Kiongozi Kwa kura halali Ili mwisho wa Siku Eneo la nchi Yako nzuri lipate Kiongozi mwenye KIBALI Kutoka kwa Mungu wa Mbinguni mwenyewe
Nawe unayetaka kuwaongoza Watu hawa ambao Mungu wa Mbinguni amewaumba kwa Mfano wake USIIBE KURA, kwani Kwa kuiba Kura hautakuwa KIONGOZI bali Mtawala atawalaye kwa HILA
Mbele ya Mungu wa Mbinguni HILA ni dhambi iliyo Kuu Zaidi yenye kusambaza LAANA kwa Watu Wote watawaliwao nawe
Mungu wa Mbinguni akufumbue Macho Uweze KUTAZAMA na KUONA
Ahsanteni sana π
Utabaki nyumbani peke Yako πSina muda wa kupoteza, kama mlitarajia tutaendelea kujaa vituoni ili muongopee wafadhili kuwa mnakubalika basi mmeukalia. Jazeni watoto wa shule huko vituoni.