Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
Habari wapendwa!
Katika maisha kila kitu kinashortcut!
Hakunaga njia ndefu isiyokuwa na shortcut!
Mimi ni moja ya waumini wa kutafta shortcut!
Yaani mimi li unipitishe njia ndefu huwa ni lazima nichungulie hatari ya kupita shortcut kama nazimudu au la!
Ndiyo maana nina imani iko siku tutapata njia ya kuitoboa dunia kutokea upande wa pili nilishaweka uzi wa hili humu!..
Hata wakristo wanathibitisha hili katika mafundisho yao kuwa wana wa Israeli walikuwa na njia mbili kufikia mji wa ahadi,
moja ilikuwa ni shortcut fasta tu kama umbali wa Dar mpaka moro,
lakini wao walichagua njia ndeeefu yaani mfano kama kutoka Dar-mkuranga- msumbiji-south- Morocco- Ethiopia-Dodoma then Moro!
Yote kwa yote Shortcut huwa inahitaji ni uadirifu, uvumilivu na malengo bhaasi!
Tukirudi kwenye mada yetu!
Hizo zilizo bakia zinavumilika.
Moja ya mbinu ya kuyafikia maendeleo haraka ni kuzuia tamaa za ngono!
Hii kwangu ni bonge moja la shortcut kwa tuliochelewa kwenye malengo yetu nawashauri achaneni na ngono mapema mtakuja kunishukuru baadae!
Kwa wale ambao mshajichanganya tayali mpo kwenye ndoa zishawakwamisha kiuchumi hakuna njia nyingine bali mtazameni Yesu pale msalabani!

- Mapenzi yanagharimu maisha yetu vibaya sana!
- Ngono inatupotezea marafiki wa maana sana
- Ngono inawafunga watu jera kifikra vibaya mno
- Ngono inauwa vipawa vya wanawake kwa wanaume wasifanye kazi kutumikia mapenzi
- Mapenzi yanawafanya watu wasiwaheshimu wanaowabeba au kuwasaidia wakiamini fadhila ni ngono
- Ngono zinawafanya watu watamani kumiliki vitu vikubwa hata kwa kuipa ili kuwafurahisha wapenzi
- Mapenzi yanafundisha kutafta sifa za kijinga ili jamii kuwaringishia wengine
- Vichaa wengi mtaani ukifuatilia chanzo cha kuchanganyikiwa kwao nyumba yake walikuwa wanapambania mapenzj hadi wakaharibu sehemu