Mpare wa Mtwara
Member
- Jan 7, 2018
- 52
- 63
Mwenyewe!Urundie avae,iki ugaya mandu ani aho?
Asubuhi nimeamka tu maneno 20 ya kwanza kuyasikia na ronaldo lilikuwepo. Ingawa huyu jamaa simpendi lakini anastahili heshima..
Lakini kwa messi atasubiri sana
Lini umeanza kunipangia jinsi ya kuchangia maada humu??Katika Post mbona Sijaona Pakitajwa Kitu Messi au umekusudia Kureply post ipi?
Lini umeanza kunipangia jinsi ya kuchangia maada humu??
Au umeona sehemu ambayo mtoa maada kasema ukichangia msimtaje messi??
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Sijaelewa chochote
Comment yako ni masaa manne yaliyopita yaan saa sita, me nmesena saa tisa sasa hv ni saa kumi... "vigezo na masharti kuzingatiwa"Nisha kupm mbona kimya mkuu