Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Hekima ya Mungu ikuongoze kwenye comment!
Wewe kijana, mkaka, mdada, mzee, umri wa makamo na kadharika. Unapoandika au kuchangia mada yoyote juu ya unaoitwa utapeli ambao wewe unahisi watu wanafanyiwa na watumishi wa Mungu basi jaribu kuwa na kiasi.
Kama hujafanya utafiti wako binafsi na kujidhihirisha pasi na shaka kwamba kuna utapeli wa aina yoyote nakusihi ACHA KUFUATA MKUMBO wa kuwasemea vibaya watu waliopakwa mafuta ya kuwa watumishi wa Mungu.
Hii dunia bado ina siri kubwa sana tokea kuumbwa kwake hadi pumzi ambayo unaivuta leo iliyosababishwa na mapigo yako ya moyo ambayo hata wewe mwenyewe hujui ni nani aliswich on pump ya moyo wako unaokupa ujasiri wa kusema vibaya watumishi wa Mungu.
Jitathmini sana fanya meditation sana ukiwa peke yako, Hapa JF, Instagram, na majukwaa mengine ni jalala la kila sampuli ya watu kuanzia wenye weledi usio na kifani hadi machokoraa wanaolipwa kusambaza propaganda za kuchafua watu.
Hujachelewa, mrudie Mungu fanya sala ya toba, Kwa dhahebu lako nenda kasilikize neno la Mungu lisiloghoshiwa rudi nyumbani, fanya mitikasi yako over.
Hongera sana Mtume mwamposa, Endelea kuhubiri juu ya Mataifa, ukiwa unautafuta mwaka wa 30 juu ya huduma yako, Basi mimi binafsi na familia yangu tunakuombea ufike zaidi ya miaka 50 ya kueneza injili na kuwafungua watu popote pale kwenye sayari hii ya Dunia.
Nawasilisha.