Usipotukana watu na kuandika matusi huwezi kuishi?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Huwa nashangaa Sana kukuta Mtu wa umri mkubwa 20s anafoka foka huku akichoka kufoka utamkuta mtandaoni anaandika matusi.

Ukiona umegonga 15 yrs unabidi kujua wewe tayari ni mtu mzima unayebidi kupambania kusudio lako la kuwa hai .

Sasa inakuaje unatoboa hadi 20 yrs kichwa kimejaa matusi inafikirisha Sana nchi hii kila mtu anawaza ngono tu . .
 
Vijana hatuna elimu ya makuzi, hatujui katika umri upi tunapaswa kuwa na mienendo ipi.

Familia, jamii, Dini na Serikali wanapaswa kulaumiwa, vijana mtatuonea tu bure.

Umri ulioutaja ni umri wa mihemko, Kama hakuandaliwa vyema kimalezi au hakuna mtu wa kumuongoza huyu kijana basi lazima atakuwa na tabia zisizovutia.
 
Huwa nashangaa Sana kukuta Mtu wa umri mkubwa 20s anafoka foka huku akichoka kufoka utamkuta mtandaoni anaandika matusi.

Ukiona umegonga 15 yrs unabidi kujua wewe tayari ni mtu mzima unayebidi kupambania kusudio lako la kuwa hai .

Sasa inakuaje unatoboa hadi 20 yrs kichwa kimejaa matusi inafikirisha Sana nchi hii kila mtu anawaza ngono tu . .
ni vijana ambao wamehitimu mafunzo ya Matusi.

Na actually, ni sera huko kwenye familia yao maana wakiporomosha matusi vizur wanatunzwa na kupewa dhamana yakua mstari wa mbele.

inafedhehesha, inasikitisha sana
 
Huna tofauti yeyote ile na Fikra za Mleta mada.

Wewe , huo utafifiti uliufanya wapi?
Mnaleta mambo juu juu tu kuendeleza matusi mnayotaka kumwaga hapa. Nayo ni Matusi tu. Kutukana.
 
sawa.
na wew utakaa front line, ni miongoni mwa mahodari wa hizo vitu
 
Pana watu inabidi uwakwepe kwenye hoja zao maana hawachelewi kutukana sema watu wengi wanaotukana hawakupata malezi bora ya Wazazi na wengi wao wamekulia kwa Mzazi mmoja au Bibi huko ni kudekezwa tu ndio madhara yake hayo kila utakachobishana nae kwa hoja anaona amedharaulika kinachofuata ni kutukana tu..
 
Kuna jamaa mmoja asome hapa anajiita robot la ujiuji wa matope.......

Jamani Mimi simo
🤓🤓🤓🤓
 
Humu ndani Jf nimewai tofautiana kimtazamo namaanisha confrontation na watu wachache sanaa....

Mtu anaku attack yaan kama vile anakujua au wewe ndie msemaji wa ukoo au familia yako au yenu......

Hapo ndipo nilikuja gundua kwanini SIJAWAONA DITOPILE MZUZUZI alipiga mtu risasi Kwa kutumia Ile bastola.....

All in all,
Tusipende kutoa kauli za maudhi Kwa wengine maana mkuki Kwa nguruwe Kwa binadamu mchungu......
 
Huwa nashangaa Sana kukuta Mtu wa umri mkubwa 20s anafoka foka huku akichoka kufoka utamkuta mtandaoni anaandika matusi.

Ukiona umegonga 15 yrs unabidi kujua wewe tayari ni mtu mzima unayebidi kupambania kusudio lako la kuwa hai .

Sasa inakuaje unatoboa hadi 20 yrs kichwa kimejaa matusi inafikirisha Sana nchi hii kila mtu anawaza ngono tu . .

Yaani huo umri mpk ukaitwa foolish age unazani kuna nizam apo
Apo ni kuweuka tuh
 
Kwa ,sababu watu wanaishi na wamekulia kwenye malezi tofauti , tukubali tukatae watu wa namna hiyo lazima wawepo ,ni hali ya kawaida kabisa, cha muhimu apa nikujifunza namna ya kukabiliana na hisia zetu tunapokumbana na namna hyo ya watu bila kuleta madhara yoyote na kuharibu mitazamo yetu zaidi kuwahusu watu hao.
 
Back
Top Bottom