DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
ni vijana ambao wamehitimu mafunzo ya Matusi.Huwa nashangaa Sana kukuta Mtu wa umri mkubwa 20s anafoka foka huku akichoka kufoka utamkuta mtandaoni anaandika matusi.
Ukiona umegonga 15 yrs unabidi kujua wewe tayari ni mtu mzima unayebidi kupambania kusudio lako la kuwa hai .
Sasa inakuaje unatoboa hadi 20 yrs kichwa kimejaa matusi inafikirisha Sana nchi hii kila mtu anawaza ngono tu . .
Huna tofauti yeyote ile na Fikra za Mleta mada.ni vijana ambao wamehitimu mafunzo ya Matusi.
Na actually, ni sera huko kwenye familia yao maana wakiporomosha matusi vizur wanatunzwa na kupewa dhamana yakua mstari wa mbele.
inafedhehesha, inasikitisha sana
sawa.Huna tofauti yeyote ile na Fikra za Mleta mada.
Wewe , huo utafifiti uliufanya wapi?
Mnaleta mambo juu juu tu kuendeleza matusi mnayotaka kumwaga hapa. Nayo ni Matusi tu. Kutukana.
Huyu kiumbe naona akili na umri wake vimegoma kabisa kuongezeka.
Huyo Jamaa anabidi kujitafakari SanaHuyu kiumbe naona akili na umri wake vimegoma kabisa kuongezeka.
Ila mbona alisemaga watu wanamuanza wenyewe na yeye anamaliza alafu anaonekana ye mkorofi na matusi.Huyu kiumbe naona akili na umri wake vimegoma kabisa kuongezeka.
Dah sijui watu hua mnawaza nini😀😀Inawezekana unatokwa na ndevu masikioni, lakini ndio kinara wa matusi.
Kuna jamaa mmoja asome hapa anajiita robot la ujiuji wa matope.......Pana watu inabidi uwakwepe kwenye hoja zao maana hawachelewi kutukana sema watu wengi wanaotukana hawakupata malezi bora ya Wazazi na wengi wao wamekulia kwa Mzazi mmoja au Bibi huko ni kudekezwa tu ndio madhara yake hayo kila utakachobishana nae kwa hoja anaona amedharaulika kinachofuata ni kutukana tu..
Huwa nashangaa Sana kukuta Mtu wa umri mkubwa 20s anafoka foka huku akichoka kufoka utamkuta mtandaoni anaandika matusi.
Ukiona umegonga 15 yrs unabidi kujua wewe tayari ni mtu mzima unayebidi kupambania kusudio lako la kuwa hai .
Sasa inakuaje unatoboa hadi 20 yrs kichwa kimejaa matusi inafikirisha Sana nchi hii kila mtu anawaza ngono tu . .