BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Mara nyingi nimekiona kina mama wakipika mchuzi ikosekana carrot au hoho wala hawana shida lakini kikikosekana kitunguu watatafuta popote pale.
Umuhimu katika mchuzi ni upi? na kama kikikosekana nini kitatokea?
Hahaha joseverest ukiona umemuwahi ujue ana edit post ya mtu uko.[emoji23] [emoji23] [emoji109]Daaah ebu ngoja Tusubiri majibu aisee.....joverist samahani kaka....najua ni siti yako hii
Mie napenda sana kitunguu. Nikipika nayaweka mapande mapande ili nipate niyatafune vizuri. Tena hupenda kuvikaanga kdg tu ili visipotee ladha.Kitunguu huwa sikipendi sana, nikiwa nakula lazima nikitoe kama kipo kwenye mboga, na nikila kwa bahati mbaya ulimi wangu upo sensitive sana lazima kitoke, utata unakuja nikienda ugenini
Daaah kweli tuna tofautiana, mimi tangu utotoni walikuwa wananiforce kula vitunguu nikila natapika, ila kwenye kachumba(l)ri nakula (vibichi)Mie napenda sana kitunguu. Nikipika nayaweka mapande mapande ili nipate niyatafune vizuri. Tena hupenda kuvikaanga kdg tu ili visipotee ladha.