Usipuuze pitia hapa msaada wako ni muhimu

Usipuuze pitia hapa msaada wako ni muhimu

uwesuporoto

Senior Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
116
Reaction score
58
Habari zenu viongozi na madokta JF shida iko hivi;-
Ni baada ya kupigwa sindano nane kwa wiki 4 bado tatizo lipo na ndio kwanza linazidi. Tatizo lipo hivi;-
Nibaada ya kutembea na duu mmoja hivi kama miezi mitatu iliyopita nikaanza kusikia muwasho wa ndani ya mdomo wa uume.
Nikatatufuta ushauri nikaambiwa nitumie azuma nazo haziku saidia nikaenda hospitali dokta akaniandikia dawa sikumbuki jina lake ila linaanza kama na phy tatizo likatulia na likaibuka tatizo lingine hili tatizo lilianza kama na kijeraha kwenye kichwa cha uume jeraha ambalo wala haliwashi wala halina maumivu ni kama kidonda hivi. Baada ya siku kazaa vikawa viwili. Kabla ya hivi kupona kikatokea kipele juu ya shingo ya uume yaani pale pale kwenye kona kwa juu tu kidogo. Hiki kipele kilianza na kangi nyeusi baada ya hapo kikabailika kama kimeiva hivi. Shida ya hiki kipele kinawasha sana na huwa najisikia raha kukikuna na kila ninapo kikuna kina lazimisha nikikune zaidi na zaidi. Na sasa hivi ninvyosema vipo kama vinne na hospitali ndo kama hivyo nimemaliza sindano ya nane wiki iliyopita bila ya mafanikio. Dokta alisema ni kaswende. Je nifanye nn??
 
Wazee wa mbichi
Pole sana kiongozi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Endelea kuhudhuria hospitali huo ugonjwa unatibika inawezekana dawa zimekua sugu tu ko nenda hospitali utabadilishia dawa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom