Usirambe wala kutia kidole sehemu za siri

Usirambe wala kutia kidole sehemu za siri

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kwa asili sehemu ya siri ya kike yenye afya nzuri inapaswa kuwa na harufu kali na mazingira ya utelezi yasiyomtamanisha mtu kuyaramba wala kunusa hata kidogo. Hii inatokana na kwamba haitakiwi mwanamke kutumbukiza vidole, sabuni au kitu chochote ukeni kwa madhumuni ya kufanya usafi. Kuingiza vidole, sabuni, au kitu chochote ukeni kunamuongezea mama uwezekano wa kupata shida za saratani ya shingo ya kizazi, fangasi na UTI.

Hivyo basi uke ambao haujasafishwa kwa kutumbukiza vidole, sabuni au dawa nyingine zozote utakuwa kwenye hali yake ya asili ya kuwa na unyevunyevu (secretions) mwingi na harufu isiyopendeza kuinusa au kuramba. Akina mama wengi wanahatarisha afya ya uzazi wao kwa kutengeneza mazingira yanayowahamasisha watu kumudu kuziramba sehemu zao za siri.

Hii ni pamoja na kusugua kwa vidole na sabuni au madawa (douching) mara kadhaa ukeni ili kuondosha harufu na utelezi ukeni. Hata hivyo wanafanya hivyo kwa kuhatarisha afya ya viungo vyao vya uzazi bila kufahamu.

Mdomo pia una bacteria wengi sana wa aina tofauti, kuramba ukeni ni kumuambukiza mama wadudu wa mdomoni kwako, hebu tuwaoneeni huruma dada na mama zetu kwa kuacha kuwaramba kama nyoka sehemu zao za siri .

Kwani unataka nini hasa hadi urambe? Tafiti zinasema kuwa wanaume wenye matatizo ya nguvu za kiume wanaoongoza kwa kulamba wenza wao kama sehemu ya kufidia (compensate) mapunguvu yao ya nguvu za kiume.
 
Ndo maana watu wengine wananuka papuch kumbe sababu hamsafish vizur sasa kama hujaingiza kidole humu ndan lile tope jeupe litatokaje
 
Mapenzi ni uchafu kama hujawahi kumnyonya papuchi wife wako lazima unyonyewe na wenzako, kwani mbona denda mnakulana kama kawaida na kuna midomo mingine inaharufu mbaya bora hata papuchi, acheni mambo yenu bana watu wananyonya mpaka kinyereo we unasema papuchi,,,,?
 
Kucoment kitu ambacho haki kuhusu ni utumwa na ujuaji ulio kithiri.

Coment kwenye kile kinacho kuhusu kwa faida yako na hasara yako.

Wewe kitu hujawah kufanya, harafu ndio bingwa wa ujuaji..!!? Kuna maajabu ila ili ni ajabu la aina yake.
 
Back
Top Bottom