kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
-
- #141
manii sio kitu kichafu, manii zina dawa kwaajili ya afya ya uke, na mbegu za uzazi zinapokuwa ukeni, kwenye uterus na kwenye mirija ya uzazi. Usidhani ni kitu kichafu ivo kiasi cha kuhitaji kusuguliwa na vidole kwa sabuni na madawa. Binadamu yuko kama viumbe wengine wanaonyonyesha (mamalia) kwani hao wanyama wengine hawajamiani? baada ya kujamiana wanaosha? je beberu hatarudi tena kwa kuhofia uchafu wa manii zake aliouacha pale?. Tofautisha kati na afya na uzuri, utanashati na usafi. Manii nyingi huwa zinaenda kwenye uterus baada ya tendo la kujamiana na unahitaji kubaki kitandani kwa nusu saa au zaidi ili mbegu ziende kwenye mayai na zilizobaki zitatoka kama utasimama wima, unachotakiwa nenda toilet ukakojoe ili kujikinga na UTI na kujisafisha kwa maji safi kuondoa majimaji yaliondokea kwenye uso wa uke, kinena na mapajani, finito. ukitaka waweza kwenda kuoga kabisa ili kuondoa majasho ya jamaa na miharufu ya manii iliyodondokea nje ya uke.Acha kuchanganya mambo, tofautishe harufu ya asili ya uke na harufu ya manii yalochacha!!