Kadri siku zinavyozidi kwenda ndyo hali inazidi kuwa tete, hakuna mwenye taarifa rasmi kuhusu ajira mpya za walimu kwa TAIFA ambalo lina upungufu mkubwa wa walimu na mipango kadha wa kadha ambayo msingi wake mkuu hutegemea walimu! Kuna kitu gan kinachopelekea usiri huu??? ni vyema kuweka wazi km serikali imeshndwa kutoa ajira ili walimu wapate fursa ya kufanya business nyngne! kw mbali naanza kufikiria pengne hii ndio maana ya BIG RESULTS NOW (BRN)! Polen xana walimu, hii ndiyo TANZANIA@
stellah kessy! serikali haioni umuhimu wetu dat'z y wanatufanyia hivi, ni aibu tupu mtaani, walimu tunavyodharaulika@