Ilikuwa katika gazeti la Nipashe jana, kuhusiana na gharama zilizotumika na watoto wa vigogo waliokuwepo. Naomba mtu ambaye ataipata online aiweke hapa. but in a nutshell watu walilipa 1.9 million per day some 466,000 per day kwa kikao cha siku 4. Waliohudhuria ni watoto wa Sitta, Warioba, Karume, Kingunge etc. bila kusahau mawaziri wetu 'vijana' Masha, etc Habari ndo hiyo!
Jamani;
Sasa hata kama tuna good agenda za kuhusu kikao cha z'bar au kuhusu UVCCM sio kwa mtindo huu... umeanza viruzi kuchanganua "mafao waliyogawana, lakini gafla ukaja kwenye individual attacks; There is no way utashambulia mtu kimtindo huuu. Kwani hao uliowataja si kati ya members wengi wa UVCCM? Ulitaka wakae nje wasubiri wenzao wamalize?
Tafuta hoja ya msingi hapa ku-challenge matumizi yao.. and only if walitumia pesa ya serikali
Wakikaa wengine je? Achana na hao akina kingunges kids, they are very insignificant these days na hata wao wenyewe kujiamini kumeisha
MTM, I was responding to the question of Augustine Mushi and Pilato's comment regarding watoto wa vigogo kutumia pesa nyingi na wananfunzi kukosa ada shule. I was also providing a summary of what I read in Nipashe that listed the name of people who attended with emphasis on the offsprings.
BUt mkuu, heshima mbele:
First you should make disclosure kama ni msemaji au mhusika when it comes to offsprings of vigogo maana otherwise your generalization that they are insignificant and hawajiamini is an attempt to diffuse the influence that these people have on contemporary and future politics.
Second, yes we need to know what kind of jobs and incomes do they command in order to be able to afford 1.9 million per day or even 466,000 per day. And this is true not only for offsprings but even ministers. Did they pay from their own pocket or was it paid by ministries? If ministries then how come they make indirect contribution to UVCCM.
So you see there are many unanswered questions that you cannot dismiss with empty remarks like 'individual attacks' There was no individual attack but a list of people who attended. If I missed someone let me know.
hizo fedha zilizotumika ni za CCM au serikali ya jamhuri ya muungano?
kama ni za ccm kutoka katika vyazo vyao halali vya fedha sio tatizo, kama ni za serikali yetu hapo kunatatizo.
tujaribu kutenganisha mambo ya binafsi ya chama cha siasa, na serikali na cham na serikali kwa ujumla wake.
AM
Ni chanzo gani halali cha CCM unachokijua kinachowawezesha kutumi Shs Mil 500 kwenye kikao cha siku 4??!!!
CCM wenyewe wanatofautisha kati ya Chama na Serikali pale inapowapa wao ulaji tu...kinyume na hapo wao wenyewe wanachanganya...sithani kama ni haki wananchi tukitegemewa kutenganisha.
ni chanzo gani halali cha ccm unachokijua kinachowawezesha kutumi shs mil 500 kwenye kikao cha siku 4??!!!
hizo fedha zilizotumika ni za CCM au serikali ya jamhuri ya muungano?
kama ni za ccm kutoka katika vyazo vyao halali vya fedha sio tatizo, kama ni za serikali yetu hapo kunatatizo.
tujaribu kutenganisha mambo ya binafsi ya chama cha siasa, na serikali na cham na serikali kwa ujumla wake.
AM
tanil somaiya
Hayo mambo muulizeni FMES atakuwa anajua tu.What i know zilihudhuliwa na Vasco da Gama a.k.a Thabo Mbeki
Huo uhakika kwamba walitumia TSH 500 million kwa siku 4 uko wapi? Tuhakikishie
hizo fedha zilizotumika ni za CCM au serikali ya jamhuri ya muungano?
kama ni za ccm kutoka katika vyazo vyao halali vya fedha sio tatizo, kama ni za serikali yetu hapo kunatatizo.
tujaribu kutenganisha mambo ya binafsi ya chama cha siasa, na serikali na cham na serikali kwa ujumla wake.
AM
mkuu huyu ndiye aliyechanga?tanil somaiya