Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
-
- #41
Wazazi nao wamememezwa na usasa. Binti wa miaka 18-24 wanasema ni mdogo kuolewa lakini wanaona sawa binti yao kuchezewa na bad boys.Kinachosikitisha wazazi nao ni suppoters wa hali mbaya kwa watoto wao wakike,one time kuna manzi alikuwa bado mbichi maringo kama yote wazazi na wakanione masoud kipanya cna hadhi ya kupita na manzi,baadae wahuni wakazamia wakaichezea sana umri wa kuolewa unafka wazazi wanataman nimuoe binti kawa wa hovyo nikaula wa mee kama vile sioni.
Hiyo ni tafsiri yako mkuu. Usikariri maishaa caring person = simp
Wanawake wanataka mwanaume kamili, siyo simp.
Kwamba aje akueleweshe. Ubaya wa wengine usikufanye ukawa mbaya na wewe. Maintain your character. Usiige maisha
Ehhh kwani Mimi nimesema nini ?Kwamba aje akueleweshe. Ubaya wa wengine usikufanye ukawa mbaya na wewe. Maintain your character. Usiige maisha
Lakini sometimes tunatakiwa kuweka character zetu pembeni na ku-adapt vile ulimwengu unaenda mfano wewe ulivyosema ni caring person lakini umebadilisha gia angani baada ya kuona hao unaowajali wanakuchukulia poaKwamba aje akueleweshe. Ubaya wa wengine usikufanye ukawa mbaya na wewe. Maintain your character. Usiige maisha
If you care alot you wont have peace ,alitle care with love will do,but make sure you maintain what you already establish🤣🤣🤣Ujue by nature mimi ni a caring person, ila nimekuja kugundua hik kitu wanawake huwa wanakichukulia for granted sana. Siku hiz sifanyi tena
YEah. Nimeona nikae kando kwanzaIf you care alot you wont have peace ,alitle care with love will do,but make sure you maintain what you already establish🤣🤣🤣
Yeah true, when it comes to love hii kwasasa imekaa pembeniLakini sometimes tunatakiwa kuweka character zetu pembeni na ku-adapt vile ulimwengu unaenda mfano wewe ulivyosema ni caring person lakini umebadilisha gia angani baada ya kuona hao unaowajali wanakuchukulia poa