Iyerdoy JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 4,090 Reaction score 5,248 Sep 8, 2026 #21 Mtili wandu said: Mjini kuni utapata wapi? Hapo ni mwendo wa kutafuta mfuko kigulu na njia mkaa ulipo. Ila kule kwa Bi mdashi anarundo la kuni aisee. Click to expand... MmmU! eti rundo la kuni. Gusa usikie bei.
Mtili wandu said: Mjini kuni utapata wapi? Hapo ni mwendo wa kutafuta mfuko kigulu na njia mkaa ulipo. Ila kule kwa Bi mdashi anarundo la kuni aisee. Click to expand... MmmU! eti rundo la kuni. Gusa usikie bei.
Iyerdoy JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 4,090 Reaction score 5,248 Sep 8, 2026 #22 Mtili wandu said: Ile unakaa tuu kwenye kiti sebllleni umeme unakatika ukiuliza umeisha. Unaweza kuondoka unasonya mpk ufike ndani shenzi type. Click to expand... Kusonya haitawezesha LUKU ipatikane. Hapo ni lazima Ubonyeze kitufe cha Lipa Bill halafu uchague nunua luku kwenye cm yako.
Mtili wandu said: Ile unakaa tuu kwenye kiti sebllleni umeme unakatika ukiuliza umeisha. Unaweza kuondoka unasonya mpk ufike ndani shenzi type. Click to expand... Kusonya haitawezesha LUKU ipatikane. Hapo ni lazima Ubonyeze kitufe cha Lipa Bill halafu uchague nunua luku kwenye cm yako.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Sep 8, 2026 #23 Mtili wandu said: Yaani udaiwe kodi ya na iwe umefikuzwa kazi hii duet ni balaa. Click to expand... ππππ
Mtili wandu said: Yaani udaiwe kodi ya na iwe umefikuzwa kazi hii duet ni balaa. Click to expand... ππππ
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 36,315 Reaction score 104,500 Sep 8, 2026 #24 Mtili wandu said: Mjini kuni utapata wapi? Hapo ni mwendo wa kutafuta mfuko kigulu na njia mkaa ulipo. Ila kule kwa Bi mdashi anarundo la kuni aisee. Click to expand... Kabisa ila mjini kimbembe, mkaa na jiko uwe nalo!
Mtili wandu said: Mjini kuni utapata wapi? Hapo ni mwendo wa kutafuta mfuko kigulu na njia mkaa ulipo. Ila kule kwa Bi mdashi anarundo la kuni aisee. Click to expand... Kabisa ila mjini kimbembe, mkaa na jiko uwe nalo!