Usisaidie masikini, acha wafe

Dah! Kaka huu uzi una lengo la kuhakikisha kizazi Cha Wanaume kinapotea, Wanaume wengi ndo Masikini ujue
 
Nakumbuka Kuna mama mmoja alikuwa mjane, lakini alikuwa anapambana na biashara ndogo ndogo na Mungu akmajalia akasimamisha nyumba ya vyumba 2 vya tofali ya kuchoma na kuviezeka na familia yake ya watoto watatu ikahamia. Sasa Kuna jirani mmoja akaanza kumuambia wewe ni mwanamke mbona unamaendeleo sana na akasema atafanya kitu. Mama hakumjibu.

Mwisho wa siku yule mbaba alimloga na kumuua yule mama. Kisa Cha kumuua ni kuwa na maendeleo.

Maskini hapendi kuona mtu anapata maendeleo hata kidogo.
 
Kweli kabisa mkuu
 
Mnh...
 
Nilikuwa najiuliza zangu hapa ety iv wote tukiwa matajiri dunia hii itakalika kwel? nakukumbusha tuu TANZANIA n miongon mwa nchi za ulimwengu wa tatu nchi maskin .


Hakuna ushirika baina ya tajiri na masikini ukawa na tija
 


Umefanya makosa kumsaidia kumuelewesha.

Ilipaswa aelewe hivyo hivyo alivyoelewa
 
Mkuu Nakupongeza kwa dhati kwa Somo ubarikiwe sana
 
Tatizo ni kwamba hicho unazodhani ni msaada wa kujitolea mtu anautoa ndio biashara kubwa iliyompa mafanikio huyo unaedhani anajitolea.

Ukimwambia aache kusaidia ninsawa na kumwambia aache kufanya biashara yake inayompa mafanikio makubwa.

Fungua macho uone!!!
 
Mungu hupitisha msaada kupitia kwa watu.
Unapomhurumia masikini unamkopesha Mungu,yeye anawategemeza hao watu..
Iko hivyo mkuu.

Wala hatubishani bali tunatoa mawazo,au uzi wako hauruhusu kupokea mawazo tofauti na uliyoandika wewe?
We nae, unasemaje kuhusu misaada iliyomwagwa kwa ajili ya watu kule ntwara, aliekua rais JPM akazichukua zile hela. Je Mungu hakuliona hilo?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 


Huko sio kumsaidia Bali ni Biashara.
Na hii hufanywa na watu wenye akili zao
 
Mkuu naomba nikupinge kdg, umasikini sio laana kama ulivyoandika, bali ni zao la kutokuifikirisha akili yako vzr namna nzr ya kupata kipato, pamoja na kujihusisha na issues zisizo na manufaa yoyote yaan za kupoteza mda,
Ebu pitia "The richest man in Babylon.
Na" The power of your subconscious mind.
 
Hii itakua speech ya P.W Botha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…