Usisaidie masikini, acha wafe

Sisomagi sana nyuzi zako lakini hii nimeisoma nimeimaliza. Kweli,umenifungua macho.
 
Na matajiri waliopata mali kwa kuwapora maskini wamelaaniwa pia. Uzuri Mungu anatoa haki kwa wote.
 
Mungu anatoa Haki kwa zile haki za Watu wote.
Utajiri sio haki kwa kila mtu. Utajiri ni kwa wateule
Ni kweli ndio maana tunaambiwa matajiri ni 10% tu ya idadi ya watu wote hivyo 90% ya watu wanatumikishwa na hawa matajiri. Sasa basi kama hawa 90 wanatumikishwa nikiwa na maana wanafanya kazi na wanastahili kupewa ujira wa kazi yao. Lakini ukichunguza mwenyewe, utaona matajiri wengi wanapora hata kile kidogo ambacho ulistahili kulipwa.

Hapo ndipo Mungu akatoa laana kwa matajiri wote wenye tabia hizo. Ndio maana hata Yesu alitoa mifano ikiwalenga matajiri. Ni vigumu tajiri kurithi ufalme wa mbingu kama ilivyo kwa ngamia kupenya katikà tundu la sindano.

Let us face it, Majority here live off scraps from there master's left overs. Hakuna tajiri anapoteza muda wake humu kupiga porojo tu siku nzima bila ya kufanya kazi kumuingizia kipato.
 
Huu ni ukweli meko alitoka familia maskini...alikua na roho mbaya,roho ya mauaji,anachukia mwenye nacho.
Maskini ni laana
 
Andiko hili limeandaliwa na mtu mjinga na mpumbavu kuliko wote duniani.
 
Fallacy to generalization, utafiti wako uneufanyia wapi?kwa masikini wangapi? There are two types of poverty, that are absolute and relative poverty,[emoji24]wote wako hivyo? Je wewe ni tajiri? Au ndiyo masikini aliye na smart phone?[emoji1241]
 
Fallacy to generalization, utafiti wako uneufanyia wapi?kwa masikini wangapi? There are two types of poverty, that are absolute and relative poverty,[emoji24]wote wako hivyo? Je wewe ni tajiri? Au ndiyo masikini aliye na smart phone?[emoji1241]

Niliufanya kwenu
 
Masikini Ana sifa zipi umeandika Kwa kutumia kali hisia Sana.

Naomba ufafanuzi je ili uitwe masikini unabidi Kuwa katika zone gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…