Usisaidie masikini, acha wafe

husikii alivyowaambia kesho yake, aliwaambia mmekuja leo tena kwa sababu ya chakula na sio neno la Mungu, yaani jana kwa vile walipewa samaki na mkate ndio maana siku iliyofuata wakaongezeka maradufu.
Mkuu naomba nukuu ya mstari kwenye Biblia unaozungumzia hilo la Yesu kuwakumbusha.

Infact andiko lako lina ukweli Mwingi japo ni Mchungu kuupokea kwa walio wengi.

BUT Kila Masikini aliyesoma andiko hili ataelewa UKWELI wake kipindi atapokuwa anatoka kwenye Umasikini kuelea kuwa TAJIRI(Kufanikiwa). Otherwise kwa wale wataobakia Masikini basi hawataelewa KAMWE ulichoandika.

Mtu yoyote akianza kutoka kwenye Umasikini na kuelekea Utajiri, ndio wakati hugundua kuwa MASIKINI sio watu wazuri, maana ndio huwa watu wa mwanzo kumletea miyeyusho, Majungu, kutaka kumshusha, kumletea visa, uzushi(kumuita mchawi), wanajivisha haki ya kusaidiwa, wanakuombea ushuke uwe masikini, usipowasaidia wanaamini ipo siku na wao watakuwa matajiri halafu wewe utakuwa masikini n.k.
 
Yohana 6:26
[26]Yesu akawajibu, akasema, Amin, amin, nawaambieni, Ninyi mnanitafuta, si kwa sababu mliona ishara, bali kwa sababu mlikula ile mikate mkashiba.
Jesus answered them and said, Verily, verily, I say unto you, Ye seek me, not because ye saw the miracles, but because ye did eat of the loaves, and were filled.
 
Laana ni ishu za imani lakini kwenye falsafa zingine mfano sayansi ya akili, umasikini ni ishu ya subconscious mind tu.Na subconscious mind haina rangi,jinsia,taifa,dini nk kwa maana
Mungu ametoa freewill kwa wote amewapa wanadamu wote equal chance za kufanikiwa
 

Wanadamu wote ukimaanisha Tupo Sawa?
 
Wapo watu ni masikini kwa sababu Wanalipwa karma kwa makosa yao au ya uzao wao unaweza ukamsaidia ile vita ya umasikini ikahamia kwako nawe ukaanza pata matatizo ukafilisika ili usimsaidie aendelee kuteseka , kumbuka madhabau Zina nguvu.
Viumbe vya kiroho vina akili mara tatu yetu vinajua mawazo yetu thus unaweza ukaonyeshwa njia tamu ya kutoboa ukaifuata ukaishia shimoni na usitoke humo forever labda uwe vizuri kiroho.
But kusaidia ni akiba kunalipa inaweza isiwe cash but ukalipwa uhai,afya, maadili mema kwa watoto,amani
 

Mimi naamini chanzo cha MTU Kuwa masikini ni subconscious mind
 
mzee umetudanganya.yule lazaro alikuwa anakula makombo mlangoni kwa tajiri mmoja lakini mwisho wa siku Lazaro alienda mbinguni na tajiri motoni.mimi kwenye kuoa masikini naoa tuuu
oa tu ila tambua na masikini hapendi kuolewa na masikini mwenzake,hiyo hadithi ya lazaro unauhakika ni yakweli au kubumba,mbona wakoloni licha ya kutunyonya na kutufanyia kila aina ya unyanyasaji lakini wanazidi kunemeka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…